Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,339
- 108,433
Mtindo wa marks ni mzuri kwa std 7, kila siku huwa nasema huu wa Grade haufai kabisa kwa level ya primary.
Yeah mfumo wa grades ni kwa ajili ya kuongeza ufaulu tu...