The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Fack check
Supreme leader and Chief Advisor wa ACT Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameandika kwenye mtandao wa Twitter kua Tanzania haijawahi kutokea mkuu wa mkoa, RC ama mkuu wa wilaya DC kushtakiwa akiwa ofisini katika historia ya Tanzania.
Zitto hua sio mwanasiasa wa kumuamini, wanasiasa wote ni waongo ila Zitto yeye ni muongo zaidi.
Sasa wanasiasa waongo aina ya Zitto wakienda unchecked wataendelea kuwaaminisha wafuasi wao uongo na kupelekea kua na jamii iliyojazwa Uongo.
Zitto anasema Sabaya ndie mkuu wa wilaya wa kwanza kushtakiwa akiwa madarakani kwa makosa ya jinai.
Naomba kumbukusha Zitto kua November 6, 2006 aliewahi ama aliekua mkuu wa mkoa wa Tabora Bw. Zitopile Mzuzuri alifikishwa mahakamani kwa kosa la jinai la mauaji na jambo hilo lilijadiliwa humu.
Zitto acha uongo.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala
Dereva aliyeuawa azikwa Dar Na Muhibu Said MAZISHI ya dereva wa daladala, Hassan Mbonde (33), anayedaiwa kuuawa kwa risasi na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ukiwano Ditopile Mzuzuri, jana yalitawaliwa na simanzi na vurugu zilizosababisha askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kujeruhiwa usoni...
www.jamiiforums.com
Zitto acha uongo.