Rwegarulila
Member
- Mar 13, 2013
- 26
- 50
Uzalendo ni kitu gani?"EZZ CHEZZ, post: 36750543, member: 41247"]
Mkuu Paskali. Hongera kwa makala nzuri yenye uzalendo mwingi.
Una hiari ya kusikiliza au kutosikiliza, radio yao ipo hewani kabla hatujapata Uhuru. Inasikilizwa dunia nzima na watu takribani milioni 400.Binafsi siungi mkono pendekezo la kuwalamba miguu hao mabeberu kuwasihi wasipotoshe ulimwengu.
Kama TBCKwanza siyo kwamba hawajui walitendalo basi wanafanya makusudi na kimsingi wako kazini.
Kama TBCHivyo ni vyombo vya propaganda.
Habari ya kuchafua ni ipi?Hutafuta puppets kama hao watangazaji wanaojiita wabongo ila tayari washakuwa brainwashed na utandawawazi na masalia mengine ya utandawazi. Kisha huwatumia kutuchafua.
Mbona wewe mjinga madalaka ndio nini..CCM wanapenda majinga kama wewe...Kiswahili hujui kama Jiwe..TANZANIA TUKO HURU, HATUTA AMLIWA MADALAKA NA MABEBERU. KAMA NDO NIA ZENU NATUNAZIFAHAMU. WAAMBIENI WATANZANIA SIO WAJINGA, NA IKULU HAMTOIONA HADI MWISHO WA DUNIA.
TBC kila muda yupo kwenye kampeni kumtetea mgombea wake, kwenye kampeni hiyo uongo ni mkubwa zaidi kiasi unakifu! Hata hivyo hautamsikia PASCAL akiushutumu, mfano tunaooneshwa treni ya mwendokasi ikitembea wakati reli ndiyo kwanza inajengwa na tunaoneshwa bwawa la Mwal. Nyerere likiwa linafanyakazi wakati nalo bado linajengwa."The Motive Behind" ni kumwondolea sifa na kumharibia raisi alie madarakani na kumsaidia Tundu Lissu pamoja na nchi zilizo nyuma yake kuweza KUJARIBU kupata ushindi kwenye uchaguzi wa mwaka.
Bibie Zuhura Yunus na bwana Salim Kikeke wanaufahamu ukweli lakini mikon yao imefungwa kwa nyuma na BBC.
Hivyo hivyo vipaza sauti vimewekwa tu mbele yao na waseme kilichoandaliwa.
Loliondo iliuzwaje kwa waarabu..!? Au waliuza CHADEMA..!?BBC swahili hamna kitu Walipofika kueleza sera ya madini ya Chadema walitoroka kueleza kile kipengele cha kusema Chadema ikishika madaraka ikikopa taaissi za kimataifa itaweka rehani ardhi yenye madini kama dhamana!
Hilo BBC wamelikwepa baada ya kuuona moto wetu CCM kukataa wakaona ni kaa la moto la kuua Chadema hawakuongelea
CCM chama tawala sera zote za vyama tunazo tena kichwani
Hahahahaaaa dah kumbe huko TBC mmakula matango pori hivyo? Kusema kweli mimi channels za kitanzania hapana! Taarifa ya habari siangaliagi maana kabla haijafika studio mimi naijua kila kitu. Sasa yanini kujihangaisha na hivi vi channel uchwara ambavyo watu kama kina Mayalla wanaingia humo huku wanawaza supu!TBC kila muda yupo kwenye kampeni kumtetea mgombea wake, kwenye kampeni hiyo uongo ni mkubwa zaidi kiasi unakifu! Hata hivyo hautamsikia PASCAL akiushutumu, mfano tunaooneshwa treni ya mwendokasi ikitembea wakati reli ndiyo kwanza inajengwa na tunaoneshwa bwawa la Mwal. Nyerere likiwa linafanyakazi wakati nalo bado linajengwa.
Kaka Paskali, nahisi nayeye ameingia kwenye ile hali kwamba YEYOTE ANAYESEMA ASICHOKIPENDA, ni muongo... kwa maneno mengine, kwake, msema ukweli ni yule anayesema yale anayopenda kuyasikia tu...Kwanini wawe waongo wewe uwe mkweli?
Hujatoa ushahidi kwa kuthibitisha ni waongo.
Zaidi, umekanusha na kuweka maelezo yanayoelea bila ushaidi.
Hata miradi wananyang'anyana wao kwa wao! Ulianzishwa na JK unaambiwa ni wa JPM, ulizinduliwa na JK unazinduliwa tena kama tunavyozimua maji ya betri ya gari! Chakushangaza yote hayo huonekana eti ni mapya!Hahahahaaaa dah kumbe huko TBC mmakula matango pori hivyo? Kusema kweli mimi channels za kitanzania hapana! Taarifa ya habari siangaliagi maana kabla haijafika studio mimi naijua kila kitu. Sasa yanini kujihangaisha na hivi vi channel uchwara ambavyo watu kama kina Mayalla wanaingia humo huku wanawaza supu!
Mimi ni DW na BBC swahili maana uchambuzi wao ni wa tofauti kabisa! Kuja kuanza kukaa mbele yako unamtazama mtu mpuuzi kama Mayalla ambaye unajua kabisa hamna kitu anachoweza kuku impact nilishaachaga! Dah TBC niliiachaga 2010 sasa leo kweli nirudi nyuma miaka 10?
Dah poleni sana!
Huko BBC ndo wanakubrain wash. Bora usikilize uchwara. Na bila shaka unapenda ukweli ndo maana umekuja jamii forum hujaenda BBCHahahahaaaa dah kumbe huko TBC mmakula matango pori hivyo? Kusema kweli mimi channels za kitanzania hapana! Taarifa ya habari siangaliagi maana kabla haijafika studio mimi naijua kila kitu. Sasa yanini kujihangaisha na hivi vi channel uchwara ambavyo watu kama kina Mayalla wanaingia humo huku wanawaza supu!
Mimi ni DW na BBC swahili maana uchambuzi wao ni wa tofauti kabisa! Kuja kuanza kukaa mbele yako unamtazama mtu mpuuzi kama Mayalla ambaye unajua kabisa hamna kitu anachoweza kuku impact nilishaachaga! Dah TBC niliiachaga 2010 sasa leo kweli nirudi nyuma miaka 10?
Dah poleni sana!