Uchaguzi 2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

Pascal Mayalla ili kuondoa hii sintofahamu ni kwa Serikali kuuweka huo mkataba hadharani kwa umma kwa kuupeleka kwenye Bunge kama sheria inavyotamka! Hiyo taarifa ya BBC iwe kichocheo au changamoto ya kufanya hivyo!
 
Mkuu Paskali. Hongera kwa makala nzuri yenye uzalendo mwingi. Binafsi siungi mkono pendekezo la kuwalamba miguu hao mabeberu kuwasihi wasipotoshe ulimwengu. Sababu ni nyingi.

Kwanza siyo kwamba hawajui walitendalo basi wanafanya makusudi na kimsingi wako kazini. Hivyo ni vyombo vya propaganda. Hutafuta puppets kama hao watangazaji wanaojiita wabongo ila tayari washakuwa brainwashed na utandawawazi na masalia mengine ya utandawazi. Kisha huwatumia kutuchafua.

Pili ni msimamo wangu kuwa sisi kama taifa ni wakubwa sana kuliko hivyo vyombo vya kibeberu hivyo ni wao wapaswa kucheza ngoma yetu na si sisi kupelekeshwa nao. Na hili tumelionesha kwenye miaka 5 iliyopita. Anzia kwa wale "rafiki" zetu wenye macho madogo kwenye Liganga/Mchuchuma, SGR, Bagamoyo, nk. Njoo kwa hao vigogo Barrick kisha angalia tulichowafanya wale wa "mabilioni ya Uswisi" kwenye gesi.

Kwa kifupi tusijinyong'onyeze kiasi hicho kwani hatuna cha kuhofia.
 
"EZZ CHEZZ, post: 36750543, member: 41247"]
Mkuu Paskali. Hongera kwa makala nzuri yenye uzalendo mwingi.
Uzalendo ni kitu gani?
Binafsi siungi mkono pendekezo la kuwalamba miguu hao mabeberu kuwasihi wasipotoshe ulimwengu.
Una hiari ya kusikiliza au kutosikiliza, radio yao ipo hewani kabla hatujapata Uhuru. Inasikilizwa dunia nzima na watu takribani milioni 400.
Kwanza siyo kwamba hawajui walitendalo basi wanafanya makusudi na kimsingi wako kazini.
Kama TBC
Hivyo ni vyombo vya propaganda.
Kama TBC
Hutafuta puppets kama hao watangazaji wanaojiita wabongo ila tayari washakuwa brainwashed na utandawawazi na masalia mengine ya utandawazi. Kisha huwatumia kutuchafua.
Habari ya kuchafua ni ipi?
 
Aisee umejiandikia andikia tu bila kupata data za kimahesabu. Halafu makala zako kuhusu Barrick ni za kinadharia hivyo kusema kuwa ulifuatilia ni haikufanyi kuwa muelewa kuliko sisi wengine.

Kama umeshindwa kujua ni kwa nini Barrick waliyakataa mapendekezo yote ya mwaka 2017 basi hujui kitu. Na kwa taarifa yako Barrick walikuwa wameshakataa kuendelea na mchakato ili wakaishtaki Tanzania ndipo Tanzania wakasalimu amri!
Kitu kama hujui uliza kwanza!
 
Meli inangushwaga na mua tu usidharau mwiba dada,ushawaza imekuwaje mkate uwe sababu ya al Bashir leo hii hayupo madarakani na mtiti ukianzishwa na wananchi cyo wapinzani,so keep waiting vitu vizuri angali bado kuonekana
 
"The Motive Behind" ni kumwondolea sifa na kumharibia raisi alie madarakani na kumsaidia Tundu Lissu pamoja na nchi zilizo nyuma yake kuweza KUJARIBU kupata ushindi kwenye uchaguzi wa mwaka.

Bibie Zuhura Yunus na bwana Salim Kikeke wanaufahamu ukweli lakini mikon yao imefungwa kwa nyuma na BBC.

Hivyo hivyo vipaza sauti vimewekwa tu mbele yao na waseme kilichoandaliwa.
TBC kila muda yupo kwenye kampeni kumtetea mgombea wake, kwenye kampeni hiyo uongo ni mkubwa zaidi kiasi unakifu! Hata hivyo hautamsikia PASCAL akiushutumu, mfano tunaooneshwa treni ya mwendokasi ikitembea wakati reli ndiyo kwanza inajengwa na tunaoneshwa bwawa la Mwal. Nyerere likiwa linafanyakazi wakati nalo bado linajengwa.
 
Brother unajidhalilisha sana, sijui tatizo liko wapi?.
Si mkaishitaki hiyo BBC.
Huu utumbo uliouandika wakiuona waluokuwa wafanyakazi wa Acacia lakini waliachishwa kazi kwasababu ya unayemsifia watakurushia mawe
 
BBC swahili hamna kitu Walipofika kueleza sera ya madini ya Chadema walitoroka kueleza kile kipengele cha kusema Chadema ikishika madaraka ikikopa taaissi za kimataifa itaweka rehani ardhi yenye madini kama dhamana!

Hilo BBC wamelikwepa baada ya kuuona moto wetu CCM kukataa wakaona ni kaa la moto la kuua Chadema hawakuongelea

CCM chama tawala sera zote za vyama tunazo tena kichwani
Loliondo iliuzwaje kwa waarabu..!? Au waliuza CHADEMA..!?
 
Kwanini wawe waongo wewe uwe mkweli?
Hujatoa ushahidi kwa kuthibitisha ni waongo.
Zaidi, umekanusha na kuweka maelezo yanayoelea bila ushaidi.
 
TBC kila muda yupo kwenye kampeni kumtetea mgombea wake, kwenye kampeni hiyo uongo ni mkubwa zaidi kiasi unakifu! Hata hivyo hautamsikia PASCAL akiushutumu, mfano tunaooneshwa treni ya mwendokasi ikitembea wakati reli ndiyo kwanza inajengwa na tunaoneshwa bwawa la Mwal. Nyerere likiwa linafanyakazi wakati nalo bado linajengwa.
Hahahahaaaa dah kumbe huko TBC mmakula matango pori hivyo? Kusema kweli mimi channels za kitanzania hapana! Taarifa ya habari siangaliagi maana kabla haijafika studio mimi naijua kila kitu. Sasa yanini kujihangaisha na hivi vi channel uchwara ambavyo watu kama kina Mayalla wanaingia humo huku wanawaza supu!

Mimi ni DW na BBC swahili maana uchambuzi wao ni wa tofauti kabisa! Kuja kuanza kukaa mbele yako unamtazama mtu mpuuzi kama Mayalla ambaye unajua kabisa hamna kitu anachoweza kuku impact nilishaachaga! Dah TBC niliiachaga 2010 sasa leo kweli nirudi nyuma miaka 10?

Dah poleni sana!
 
Kwanini wawe waongo wewe uwe mkweli?
Hujatoa ushahidi kwa kuthibitisha ni waongo.
Zaidi, umekanusha na kuweka maelezo yanayoelea bila ushaidi.
Kaka Paskali, nahisi nayeye ameingia kwenye ile hali kwamba YEYOTE ANAYESEMA ASICHOKIPENDA, ni muongo... kwa maneno mengine, kwake, msema ukweli ni yule anayesema yale anayopenda kuyasikia tu...
KWENYE IMANI ZA NAMNA HII, bwana mkubwa wetu kafanikiwa.... tena sana... iwe kwa watu kuwa na woga au iwe kwa ubalisia au iwe kwa kutafuta uteuzi...
 
Unahangaika kulamba miguu ya mabwana zako ili wakupunguzie njaa.

TBC wao wanatangaza ilani ya nani!? Wanatangaza ilani ya kitapeli ya ccm masaa 24 na hujawaonyesha weledi wako wa kisukumani.
Mtu mwenye 16% anawezaje kugawana 50/50 na beberu wake mwenye 84%? Ujinga huo wanaamini wajinga wa huko Kolomije kwenu.
 
WEWE NDIO MPOTOSHAJI..UNATAKA KUPOTOSHA UKWEL WA HABAR YA BBC- Ukitaka kupruvu kuwa bbc ni waongo Simple wambie xxm wapeleke mikataba na sheria zote bungen kwa wananch wazione, kwasababu sheria iliyopitishwa kwa zarura juz inataka mikataba na sheria za raslimal ziletwe bungen.&&&&&&&& alaf miswaada yote isiyohusu raslimal hupelekwa bungen bila hati ya dharua kwann miswaada inayohusu raslimali za nch ni dharura tu ???kuanzia awam 3,4 na ya 5 kwann jaman???tunakuwa tunaharaka tumechelewa?au tunafunika kombe mwanaharam apite? yaan sielewi
 
Hahahahaaaa dah kumbe huko TBC mmakula matango pori hivyo? Kusema kweli mimi channels za kitanzania hapana! Taarifa ya habari siangaliagi maana kabla haijafika studio mimi naijua kila kitu. Sasa yanini kujihangaisha na hivi vi channel uchwara ambavyo watu kama kina Mayalla wanaingia humo huku wanawaza supu!

Mimi ni DW na BBC swahili maana uchambuzi wao ni wa tofauti kabisa! Kuja kuanza kukaa mbele yako unamtazama mtu mpuuzi kama Mayalla ambaye unajua kabisa hamna kitu anachoweza kuku impact nilishaachaga! Dah TBC niliiachaga 2010 sasa leo kweli nirudi nyuma miaka 10?

Dah poleni sana!
Hata miradi wananyang'anyana wao kwa wao! Ulianzishwa na JK unaambiwa ni wa JPM, ulizinduliwa na JK unazinduliwa tena kama tunavyozimua maji ya betri ya gari! Chakushangaza yote hayo huonekana eti ni mapya!
 
Hahahahaaaa dah kumbe huko TBC mmakula matango pori hivyo? Kusema kweli mimi channels za kitanzania hapana! Taarifa ya habari siangaliagi maana kabla haijafika studio mimi naijua kila kitu. Sasa yanini kujihangaisha na hivi vi channel uchwara ambavyo watu kama kina Mayalla wanaingia humo huku wanawaza supu!

Mimi ni DW na BBC swahili maana uchambuzi wao ni wa tofauti kabisa! Kuja kuanza kukaa mbele yako unamtazama mtu mpuuzi kama Mayalla ambaye unajua kabisa hamna kitu anachoweza kuku impact nilishaachaga! Dah TBC niliiachaga 2010 sasa leo kweli nirudi nyuma miaka 10?

Dah poleni sana!
Huko BBC ndo wanakubrain wash. Bora usikilize uchwara. Na bila shaka unapenda ukweli ndo maana umekuja jamii forum hujaenda BBC
BBC is nothing more than eurocentric media ambayo inatetea maslahi ya nchi za ulaya na kuponda nchi yoyote ambayo sio ya ulaya au haiko aligned na ulaya but more specifically african countries.

Its an opinion dont take it serious. Love yu all.
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom