Uchaguzi 2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

Upuuzi kutoka kwa njaaaa kali aka kada mnafiki wa ccm aliyepata kura sifuri kwenye mchakato wa kura za wajumbe....haya bwana njaa kazana usukuma utakubeba
 
Pascal Mayalla endelea kutupa elimu mkuu. Ila sio wote wataelewa unacho andika. Shukrani sana kwa kutupa hoja na taarifa zilizojaa weledi.

Naomba nikuulize swali. Je, ipi ni sababu kuu kuchelewa kuanza kwa ujenzi wa bomba la mafuta Tanga mpaka hoima. Japo nafahamu vichache kiunabaugaba kuhusu mradi huu lakini nashindwa kuchora mstari tatizo lipo wapi, je ni Uganda au total, je ni kodi au ni siasa, je ni kuhusu gharama au wanunuzi wa hayo mafuta.
 
Hivi nani anamkumbuka Pascal Mayalla aliyemuliza JPM maswali hadi JPM akamwambia maana ya jina mayalla kwakisukuma ni njaa kapotelea wapi, akikutana na Pascal Mayalla huyu wa JF siwanaweza kupigana vibaya natamani sikumoja wakutanishwe
Pascal Mayalla (Njaa) ni yuleyule na Njaa bado ipo palepale maana hakupata uteuzi licha ya jitihada kubwa za kuunga mkono juhudi akaambulia kurudishiwa Press Card yake ambayo bado haijapunguza Njaa. Baada ya Uchaguzi mgombea wa nyumbani akishindwa kutakuwa na teuzi kibao lazima kuanza mapema kuunga mkono juhudi asije akakosa hata UDAS kama alivyopata Mwandishi wa Habari mwenzake wa Clouds sasa hivi anatamba VX8. Try the other side, Pascal, this year's elections are unpredictable!
 
Watu wa Aina yako ndio uwa wanadhan kila mtu mweupe ni mzungu
Sasa umefurahi BBC kusema uongo? Kama sio kutumiwa ni nini? Sisi watanzania ndo tunajua tunataka nini, wao na propaganda wataisoma namba! Kwanza issue ya makinikia hamkuianzisha nyie na mliapa tutashitakiwa MIGA sasa huo uchungu mnautoa wapi?
 
Hata wewe uko biased sana

Umesema upande mmoja wa kuikosoa BBC na umemkiri kwamba tumepigwa
Elezea pia namna tulivyopigwa

TUMEPIGWAJE?!!
 
Hicho kibaraka cha huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kitaandika chochote humu ili kionekane na labda kipate TEUZI na hivyo kuweza kuganga njaa. MUJINI hapakaliki madeni hata kwenye KOPE.

Unafahamu kama Deo Mwanyika anagombea ubunge Njombe Mjini kwa tiketi ya CCM?
 
Sasa umefurahi BBC kusema uongo? Kama sio kutumiwa ni nini? Sisi watanzania ndo tunajua tunataka nini, wao na propaganda wataisoma namba! Kwanza issue ya makinikia hamkuianzisha nyie na mliapa tutashitakiwa MIGA sasa huo uchungu mnautoa wapi?

Kwa akili yako Kuna inchi Tajiri duniani ambayo inaweza kuwatumia BBC?

Watumie nguvu hizo zote wakati wanaitaji nn?

What I know ni kuwa wazungu wanakubaliana na magufuli otherwise wangekuwa wameshamtoa long time
 
Mumevurugwa mapema, na ikulu hamtaiona, na mbinu za kuwatumia mabeberu wawasaidie, hatuko tayari kuuza uchumi wa Tanzania kwa mabeberu, maana tunajua fika kwamba mlishapanga kuwauzia inchi ili wawasaidie kampeni, na tunaona juhudi zao. Ila tutawagaragaza asubuhi na mapema nyinyi na mabeberu wenu.

Hicho kibaraka cha huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kitaandika chochote humu ili kionekane na labda kipate TEUZI na hivyo kuweza kuganga njaa. MUJINI hapakaliki madeni hata kwenye KOPE.
 
Kwani bro wewe ulishawai kukemea jambo gani la ovyo lililofanyika nchi hii ili sasa tuone wewe haupendelei upande wowote.Kwasababu usije ukajificha kwenye kichaka chakujifanya mzalendo uku yale maovu yanayofanywa hapa nchini na unaowaunga mkono ukemei.Anza kwanza kuona madudu yanayofanyika nakutumia uandishi wako kukemea ndo utaweza kupata uhalali wakukosoa BBC.

Hata hivyo hii nchi nayo ina chombo cha habari cha Taifa inapaswa hicho chombo badala yakupigo porojo zakisiasa kwa chama kinachoongoza kilipaswa kijikite kwenye vipindi vyenye mada nzito nzito zakulisaidia taifa ili kuondoa mambo kama hayo kutekwa nakuzungumziwa na vyombo vingine vya nje.
 
Thubutuu!! ARVs zisipoletwa utatengeneza weye?

Tusaidiane bandugu tumtoe jiwe madarakani mimi nijuavyo wana CCM wengi hawana hamu nae
Hilo linashugulikiwa na WHO. Pamoja nahayo, siyosababu ya kuwagawia tawala, na pia hats sisi tunachangia dawaa hizooo. Waaaaambieni mabeberu wanaotaka madini hawatapata ata kijiko cha makinikia cha bureee.
 
Back
Top Bottom