Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Hakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5
Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa uonevu huu.
Mkakati wa kumwonea Mbowe uliripotiwa toka mwaka 2018 na leo umetimia.
Hakika ipo siku mungu atajibu kilio chetu.
Wanachama na wafuasi wa chadema wamo magerezani kwa kesi za kusingiziwa wanaumia wanateseka
Viongozi wa Chadema walipewa kesi na kulipa faini ya mil.300 kwa makosa ya polisi ya kumpiga risasi Akwilina ukweli uonevu huu umezidi
Tundu lissu alipigwa risasi mchana kweupe mpaka leo hakuna kesi
Tundu Lissu alipokonywa ubunge wake na kunyimwa haki zake na aliyefanya hivyo leo sio spika tena watawala wapo kimya
Leo Mh Mbowe yupo mahabusu kwa kesi iliyosukwa mwaka 2018
Mungu ni mwema atasikia vilio vya watu wake.