Uonevu mnaomfanyia Mbowe na CHADEMA ipo siku Mungu atajibu mapigo

Dhambi hii ni kubwa sana na hakika Mungu atanyoosha mkono wake dhidi ya dhulama hii OVU.
Unaongelea Mungu wa Abraham, Isacka na Yakobo au mungu wa Machame?

Kama ni Mungu tunayemmuamini wakristu umpotoka, Mbowe hana huo usafi unaotaka kuonyesha kuwa anadhulumiwa. Yeye ndiye DHULUMAT mkubwa
 
Hapo kwenye Mungu atajibu mapigo...mapigo ya nini? Hizi siasa za kulialia na kusubiri miujiza ya Mungu ni kujidanganya....Mungu ametupa utashi wa kufikiri hili ni jema na hili ovu unataka tena akujibie mapigo kwa watesi wa mbowe...We have to change. Ovu huondolewa kwa mkono,twatakiwa kuuondoa uovu kwa mikono yetu huku tukimtumaini Mungu kwa kuamini atatuongoza na mwishowe kushinda vita
 
Hakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5

Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa uonevu huu.

Mkakati wa kumwonea Mbowe uliripotiwa toka mwaka 2018 na leo umetimia.

Hakika ipo siku mungu atajibu kilio chetu.

Wanachama na wafuasi wa chadema wamo magerezani kwa kesi za kusingiziwa wanaumia wanateseka

Viongozi wa Chadema walipewa kesi na kulipa faini ya mil.300 kwa makosa ya polisi ya kumpiga risasi Akwilina ukweli uonevu huu umezidi

Tundu lissu alipigwa risasi mchana kweupe mpaka leo hakuna kesi

Tundu Lissu alipokonywa ubunge wake na kunyimwa haki zake na aliyefanya hivyo leo sio spika tena watawala wapo kimya

Leo Mh Mbowe yupo mahabusu kwa kesi iliyosukwa mwaka 2018

Mungu ni mwema atasikia vilio vya watu wake.

View attachment 2126850

Acha kumchezea Mungu kwa Mambo ya Siasa. Wewe humjui Mbowe kama Mungu anavyomjua. Njia za Mungu Ni tofauti na za wanadamu. Ya sirini huwezi yajua wewe. Unataka kummiliki Mungu wewe.
 
Hawajifunzi kwa mwendazake kuwa pamoja na mbwe mbwe zote leo yupo kaburini
 
Kuna namna nyingi za kulipa madhambi uliyotenda hapa hapa duniani. Mwacheni Mbowe alipe madhambi yake;
1. Kunyanga'anya uongozi kutoka kwa Bob Makani mwaka 2003 na kupelekea akina Paul Kyara na Mchatta kujutenga nankuanzisha chama cha SAU

2. Kuuawa kimazingira yasiyoeleweka kwa Chacha Wangwe aliyetaka kugombea UWENYEKITI kwenye mwaka 2007 pale PandaMbili karibu na Kibaigwa

3. Kufukuzwa kwa Zitto Kabwe na wenzie mwaka 2010 kwa sababu Zitto aliitaka kugombea uwenyekiti wa CHADEMA

4. Kuiuzia CHADEMA magari mabovu kupitia kampuni yake

5. Kuuza nafasi ya kugombea uRais kwa Lowassa iliyokuwa ya Dr Slaa kwa Tsh 10 Billion ambazo aligawana na mkwewe Mtey na Maalim Seif

6. Kutoitisha uchaguzi wa Mwenyekiti toka 2003 na kujifanya Mwenyekiti wa maisha wa CHADEMA

7. Kugawa viti Maalum vya CHADEMA kwa mahawara zake kina Joyce Mukya, Grace Kiwelu, Chiku Abwao etc

8. Kufisadi fedha ambazo Jafari Sabodo alitoa kwa ajili ya kujengea ofisi

Hayo ni machache tu, nakushauri mtoa mada achana kuunga mkono UJINGA huu, kwa vile Mbowe yuko hapo kufanya ujasiriamali wa siasa. Tafuta pesa usipoteze muda
Ndugu,
Sina hakika kama hata wewe wayaamini hayo kutokea moyoni mwako. Ama sivyo INASHANGAZA ni nini kinakuzuia kumfungulia Mbowe mashitaka ili kummaliza.
Kujiliza hadharani na MAKELELE ya kishetani hivihivi ya wenzio akina Lijualikali na Ndugai vilikwama vibaya kwa aibu kule TAKUKURU.
Ungejaaliwa hekima na weledi japo kidogo ungeshanza kuwa mkweli japo kwa nafsi yako ungekuwa ULIISHA JINYAMAZIA. Pole sana.
 
Kuna namna nyingi za kulipa madhambi uliyotenda hapa hapa duniani. Mwacheni Mbowe alipe madhambi yake;
1. Kunyanga'anya uongozi kutoka kwa Bob Makani mwaka 2003 na kupelekea akina Paul Kyara na Mchatta kujutenga nankuanzisha chama cha SAU

2. Kuuawa kimazingira yasiyoeleweka kwa Chacha Wangwe aliyetaka kugombea UWENYEKITI kwenye mwaka 2007 pale PandaMbili karibu na Kibaigwa

3. Kufukuzwa kwa Zitto Kabwe na wenzie mwaka 2010 kwa sababu Zitto aliitaka kugombea uwenyekiti wa CHADEMA

4. Kuiuzia CHADEMA magari mabovu kupitia kampuni yake

5. Kuuza nafasi ya kugombea uRais kwa Lowassa iliyokuwa ya Dr Slaa kwa Tsh 10 Billion ambazo aligawana na mkwewe Mtey na Maalim Seif

6. Kutoitisha uchaguzi wa Mwenyekiti toka 2003 na kujifanya Mwenyekiti wa maisha wa CHADEMA

7. Kugawa viti Maalum vya CHADEMA kwa mahawara zake kina Joyce Mukya, Grace Kiwelu, Chiku Abwao etc

8. Kufisadi fedha ambazo Jafari Sabodo alitoa kwa ajili ya kujengea ofisi

Hayo ni machache tu, nakushauri mtoa mada achana kuunga mkono UJINGA huu, kwa vile Mbowe yuko hapo kufanya ujasiriamali wa siasa. Tafuta pesa usipoteze muda
Unajiona umeshusha points hapa kumbe umemwaga upupu tuu, huu ukunguni unawatesa sana...
 
CCM hawaamini uwepo wa Muumba Mbingu na nchi na ndiyo maana hata wakisoma hapa hawashituki chochote.
 
Back
Top Bottom