Uonevu mnaomfanyia Mbowe na CHADEMA ipo siku Mungu atajibu mapigo

NDUGU,
Porojo nyingine hunoga zaidi kwa watoto. Sijui nawe ni mmoja wao?
Ama sivyo, sijui ni nini kinakufanya wewe na 'wachawi' wenzio muendelee kubwatabwata badala ya kuwapelekea Polisi 'nondo' hizo?
Onyesha japo kabusara basi, HARAKISHA uwasaidie POLICCM ili waweze kuachana na aibu kubwa ya kubumba inyowaandama.
Siyo kazi yetu kuwapelekea Polisi. Polisi wanataratibu zao za kufanya kazi
 
Hakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5

Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa uonevu huu.

Mkakati wa kumwonea Mbowe uliripotiwa toka mwaka 2018 na leo umetimia.

Hakika ipo siku mungu atajibu kilio chetu.

Wanachama na wafuasi wa chadema wamo magerezani kwa kesi za kusingiziwa wanaumia wanateseka

Viongozi wa Chadema walipewa kesi na kulipa faini ya mil.300 kwa makosa ya polisi ya kumpiga risasi Akwilina ukweli uonevu huu umezidi

Tundu lissu alipigwa risasi mchana kweupe mpaka leo hakuna kesi

Tundu Lissu alipokonywa ubunge wake na kunyimwa haki zake na aliyefanya hivyo leo sio spika tena watawala wapo kimya

Leo Mh Mbowe yupo mahabusu kwa kesi iliyosukwa mwaka 2018

Mungu ni mwema atasikia vilio vya watu wake.

View attachment 2126850
Tulieni nyinyi wapumbavuu wa chadema simlise.a mama ansupiga mwingi .....shenziii taipu mbuzi wa hedi nyinyi
 
CCM bana mnashekesha balaaa, yaani unamwogopa mtu hadi unampa kesi nzito ili akiwa gelezani walau upumue kidogo eee..

Mbowe kakaa siku 230 hivi je mmepumua ?

Mziki wa leo wa Join the chain naona hamtalala kabisa..m- copy na hiyo bac tuwaone.

Chama ni wanachama na si majengo. Kaeni na hela za ruzuku sisi tunasonga mbele.

CCM oyeee !! Twendeni kidigital kama ubavu mnao.
 
Hakika Mbowe ameonewa sana, ameteswa sana, amedhulumiwa sana na utawala wa CCM na serikali yake ya awamu hii ya 5

Watanzania hatuko kimya tumefunga kwa kuomba na kusali na kumshtakia Mungu kwa uonevu huu.

Mkakati wa kumwonea Mbowe uliripotiwa toka mwaka 2018 na leo umetimia.

Hakika ipo siku mungu atajibu kilio chetu.

Wanachama na wafuasi wa chadema wamo magerezani kwa kesi za kusingiziwa wanaumia wanateseka

Viongozi wa Chadema walipewa kesi na kulipa faini ya mil.300 kwa makosa ya polisi ya kumpiga risasi Akwilina ukweli uonevu huu umezidi

Tundu lissu alipigwa risasi mchana kweupe mpaka leo hakuna kesi

Tundu Lissu alipokonywa ubunge wake na kunyimwa haki zake na aliyefanya hivyo leo sio spika tena watawala wapo kimya

Leo Mh Mbowe yupo mahabusu kwa kesi iliyosukwa mwaka 2018

Mungu ni mwema atasikia vilio vya watu u
 
Ningekuona unazo akili kama ungeandika kuhusu babaako au mama yako, coz hao wanastahiki utetezi wako kwa 1000000%.
Huyo unaejaribu kumtetea hakujui kwa lolote
 
Shida ni mikongamano ya katiba wakati wa jiwe haikuwepo,mama nndani ya miezi 2 tu ofisini mukaanza kumtikisa,jibu mumelipata,na kila sehemu shwari,bila vile mikongamano ingekuwa nchi mzima,vurugu tupu.Mama ametaka mukae mezani hamtaki munawamsikiliza walio ulaya lisu na lema.
 
Kuna namna nyingi za kulipa madhambi uliyotenda hapa hapa duniani. Mwacheni Mbowe alipe madhambi yake;
1. Kunyanga'anya uongozi kutoka kwa Bob Makani mwaka 2003 na kupelekea akina Paul Kyara na Mchatta kujutenga nankuanzisha chama cha SAU

2. Kuuawa kimazingira yasiyoeleweka kwa Chacha Wangwe aliyetaka kugombea UWENYEKITI kwenye mwaka 2007 pale PandaMbili karibu na Kibaigwa

3. Kufukuzwa kwa Zitto Kabwe na wenzie mwaka 2010 kwa sababu Zitto aliitaka kugombea uwenyekiti wa CHADEMA

4. Kuiuzia CHADEMA magari mabovu kupitia kampuni yake

5. Kuuza nafasi ya kugombea uRais kwa Lowassa iliyokuwa ya Dr Slaa kwa Tsh 10 Billion ambazo aligawana na mkwewe Mtey na Maalim Seif

6. Kutoitisha uchaguzi wa Mwenyekiti toka 2003 na kujifanya Mwenyekiti wa maisha wa CHADEMA

7. Kugawa viti Maalum vya CHADEMA kwa mahawara zake kina Joyce Mukya, Grace Kiwelu, Chiku Abwao etc

8. Kufisadi fedha ambazo Jafari Sabodo alitoa kwa ajili ya kujengea ofisi

Hayo ni machache tu, nakushauri mtoa mada achana kuunga mkono UJINGA huu, kwa vile Mbowe yuko hapo kufanya ujasiriamali wa siasa. Tafuta pesa usipoteze muda
Ila we jamaa!
 
Back
Top Bottom