Uonevu mnaomfanyia Mbowe na CHADEMA ipo siku Mungu atajibu mapigo

Unaongelea Mungu wa Abraham, Isacka na Yakobo au mungu wa Machame?

Kama ni Mungu tunayemmuamini wakristu umpotoka, Mbowe hana huo usafi unaotaka kuonyesha kuwa anadhulumiwa. Yeye ndiye DHULUMAT mkubwa
Alikudhulumu nini ndugu au alidhulumu wapi?
Njoo kwa hoja ili tuweze kujadili mada ya kudhulumu tushushe 'nondo za upande huo' tuone kama mtaweza!
 
Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu. Muache Mbowe yuko darasani anajufunza
 
Mbowe ni mwamba, jabali la siasa za bongo, ccm na Serikali yake wanamgwaya, amewapiga chaguzi tatu mfululizo 2010 , 2015 na 2020
Wame sikika wakisema akiwahuru uraiani 2025 mama hatoboi
 
Yuko wapi Ndugai aliyemuambia Zito, huna Cha kunifanya.
Yuko wapi Makonda aliyesema yeye ndio mtu anaye injoi maisha kuliko mtu yoyote.
Yuko wapi Makonda aliyesemaga hatulingani yeye Yuko juu
Yuko wapi Sabaya mkuu wa wilaya ambaye leo hii anapangiwa zamu ya kudeki choo magerezani.

Chin up Mbowe nothing is permanent in this world.
 
Kuna namna nyingi za kulipa madhambi uliyotenda hapa hapa duniani. Mwacheni Mbowe alipe madhambi yake;
1. Kunyanga'anya uongozi kutoka kwa Bob Makani mwaka 2003 na kupelekea akina Paul Kyara na Mchatta kujutenga nankuanzisha chama cha SAU

2. Kuuawa kimazingira yasiyoeleweka kwa Chacha Wangwe aliyetaka kugombea UWENYEKITI kwenye mwaka 2007 pale PandaMbili karibu na Kibaigwa

3. Kufukuzwa kwa Zitto Kabwe na wenzie mwaka 2010 kwa sababu Zitto aliitaka kugombea uwenyekiti wa CHADEMA

4. Kuiuzia CHADEMA magari mabovu kupitia kampuni yake

5. Kuuza nafasi ya kugombea uRais kwa Lowassa iliyokuwa ya Dr Slaa kwa Tsh 10 Billion ambazo aligawana na mkwewe Mtey na Maalim Seif

6. Kutoitisha uchaguzi wa Mwenyekiti toka 2003 na kujifanya Mwenyekiti wa maisha wa CHADEMA

7. Kugawa viti Maalum vya CHADEMA kwa mahawara zake kina Joyce Mukya, Grace Kiwelu, Chiku Abwao etc

8. Kufisadi fedha ambazo Jafari Sabodo alitoa kwa ajili ya kujengea ofisi

Hayo ni machache tu, nakushauri mtoa mada achana kuunga mkono UJINGA huu, kwa vile Mbowe yuko hapo kufanya ujasiriamali wa siasa. Tafuta pesa usipoteze muda

Hii ina dalili ya Mbowe kuwa na ushirika na serikali ya CCM.

Kwa jinsi ambavyo serikali imekuwa ikipambana kuidhibiti CHADEMA halafu Mbowe afanye madhambi yote hayo bila kutikiswa wala kuaibishwa (angalau kwa ushahidi kuvujishwa hadharani) basi lazima itakuwa ni kazi ya ushirikiano wa dola na Mbowe dhidi ya CHADEMA.

Inashangaza kwa nini wasimbomoe muda wote huo kwa madhambi hayo makubwa aliyofanya hadi leo wanataka kummaliza kwa kesi inayoaibisha dola kwa ushahidi hafifu sana. Itā€™s quite confusing.
 
Ndiyo sasa kaingia kwenye 18 yao
 
Kuna namna nyingi za kulipa madhambi uliyotenda hapa hapa duniani. Mwacheni Mbowe alipe madhambi yake;
1. Kunyanga'anya uongozi kutoka kwa Bob Makani mwaka 2003 na kupelekea akina Paul Kyara na Mchatta kujutenga nankuanzisha chama cha SAU

2. Kuuawa kimazingira yasiyoeleweka kwa Chacha Wangwe aliyetaka kugombea UWENYEKITI kwenye mwaka 2007 pale PandaMbili karibu na Kibaigwa

3. Kufukuzwa kwa Zitto Kabwe na wenzie mwaka 2010 kwa sababu Zitto aliitaka kugombea uwenyekiti wa CHADEMA

4. Kuiuzia CHADEMA magari mabovu kupitia kampuni yake

5. Kuuza nafasi ya kugombea uRais kwa Lowassa iliyokuwa ya Dr Slaa kwa Tsh 10 Billion ambazo aligawana na mkwewe Mtey na Maalim Seif

6. Kutoitisha uchaguzi wa Mwenyekiti toka 2003 na kujifanya Mwenyekiti wa maisha wa CHADEMA

7. Kugawa viti Maalum vya CHADEMA kwa mahawara zake kina Joyce Mukya, Grace Kiwelu, Chiku Abwao etc

8. Kufisadi fedha ambazo Jafari Sabodo alitoa kwa ajili ya kujengea ofisi

Hayo ni machache tu, nakushauri mtoa mada achana kuunga mkono UJINGA huu, kwa vile Mbowe yuko hapo kufanya ujasiriamali wa siasa. Tafuta pesa usipoteze muda
Ile ya Chacha Wangwe ilikuwa ni ya hatari. Nakumbuka alikuwa safarini akitoka jimboni kwake Tarime akija Dar, kila kitu kikaishia njiani.

Alikamatwa yule dereva wake mchagga wakamsumbua kwa muda fulani halafu habari zake zikawa hazisikiki tena.

Alikuwa anapiga pesa za CDM juu kwa juu, mzigo unatoka Ulaya unaingia akaunti za chama halafu unahamishiwa akaunti zake zilizoko nje, hakuna hata senti moja inayokisaidia chama.

Sikujua kama alimpora uongozi mzee Makani. Akawa mpole baada ya kutangaza kung'atuka, utamkuta anasoma magazeti yake akiwa amelala kwenye kochi lililokuwa chini kabisa nyumbani kwake.
 
NDUGU,
Porojo nyingine hunoga zaidi kwa watoto. Sijui nawe ni mmoja wao?
Ama sivyo, sijui ni nini kinakufanya wewe na 'wachawi' wenzio muendelee kubwatabwata badala ya kuwapelekea Polisi 'nondo' hizo?
Onyesha japo kabusara basi, HARAKISHA uwasaidie POLICCM ili waweze kuachana na aibu kubwa ya kubumba inyowaandama.
 
Mimi na wewe tunafurahishana kupitia jukwaa hili. Wenye mfumo wao wanajuana vizuri sana.
 
Ile ya Chacha Wangwe ilikuwa ni ya hatari. Nakumbuka alikuwa safarini akitoka jimboni kwake Tarime akija Dar, kila kitu kikaishia njiani.

Alikamatwa yule dereva wake mchagga wakamsumbua kwa muda fulani halafu habari zake zikawa hazisikiki tena.

Alikuwa anapiga pesa za CDM juu kwa juu, mzigo unatoka Ulaya unaingia akaunti za chama halafu unahamishiwa akaunti zake zilizoko nje, hakuna hata senti moja inayokisaidia chama.

Sikujua kama alimpora uongozi mzee Makani. Akawa mpole baada ya kutangaza kung'atuka, utamkuta anasoma magazeti yake akiwa amelala kwenye kochi lililokuwa chini kabisa nyumbani kwake.
Mbowe atawadanganya vijana waliozaliwa kuanzia 1980s kuja huku 2000 lakini siyo wakubwa wenzie.

Tunamfahamu kuanzia anasafirisha mihadarati pale Mbowe Hotels kabla haijaitwa Bilicanas
 
Back
Top Bottom