University offer ya voda imebadilishwa au?

Hapa nilipo ni speed ya konokono lbd usiku saa 8. nikae mpaka saa 8 nafanya nyinyi? ila wananipa vifurushi vizuri
Cheki speed hapo juu ni mb/s ngapi ni tigo
Screenshot_20190220-104524_Google%20Play%20Store.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheki speed hapo juu ni mb/s ngapi ni tigoView attachment 1027270

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nilipo sikufichi TIGO inasumbua sana. inachezea 60kbs. ikizidi sana 100kb. Nilijaribu kutumia usiku saa 8 ilifika mpaka 4mbs. Nilijaribu MWANZA NA PWANI nilichoka. kwa simu na kwenye pc (kwa modem) na kukiwa na mawingu internet haifanyi kazi.. Ndiyo maana nikiwa na vitu vya kudownload vingi natumia Halotel
 
Pole sana mitandao hii nayo inasehemu na sehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msipe kulalamika Sana wakati vifurushi vya dili bado vipo kwa watumiaji wa halotel tu.

Gb 4.5 dakika 600 halotel plus 240 mitandao yote ,kwa mwezi tsh 7500 tu

Interested njoo PM.
 
yaani huu ndo wizi sasa.. Weka hapa 7500 Halotel utapataje hicho kifurushi siyo hadi pm

Back
Top Bottom