University offer ya voda imebadilishwa au?

University offer ya voda imebadilishwa au?

Habari wana bodi,
Nadhani mtakubaliana nami kuwa university ofa ni suluhisho na ni mbadala wa kubana matumizi katika mitandao ya simu.

Leo katika kuangalia menu nimekuta ofa moja tu ambayo nayo bei imebadilika na kuwa tsh.3000 je menu imebadilika au ni kwangu tu imetokea hivi.Pia au menu ya *149*42# imebadilishwa?


Note:Laini hii niliisajiri kipindi nikiwa chuoni,sasa nimemaliza
Bofya *149*03#.
Nenda option no 4. Ya Dar Super Uni.
Ila pia wametoa kifurushi cha mia tano. Now kinaanzia kifurushi cha buku!
 
Back
Top Bottom