Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,786
*147*00#
*147*00#
Kwa sisi wa temeke ilikuwa 2000Mie nilikuwa najiunga ile ya Dar Supa Uni naona wamebadilisha wameweka siku 7 ni 5000 baada ya 2500.
View attachment 1023297
Umemwaga kwenye keyboard?Mie nilikuwa najiunga ile ya Dar Supa Uni naona wamebadilisha wameweka siku 7 ni 5000 baada ya 2500.
View attachment 1023297
Mbona mimi napiga *149*42# kinakuja hicho cha 3000 tu.Mimi mbona ipo kama kawaida tu.
Walichobadili ni kutoka *149*02# kwenda *149*42#
View attachment 1023333View attachment 1023334
Sent using Jamii Forums mobile app
Zantel ya chuo??Mimi nimewahama nipo huku 4G kama kawaida
Hakuna kipimo buku tumia hadi mwakaniView attachment 1023323
Sent using Jamii Forums mobile app
wanavuta wateja wengi kwa ulaghai huo, watabadilisha , haya makampuni ni wezi. Just wait wakisha wakusanya nyoooooote, wanaua nyoote!Mimi nimewahama nipo huku 4G kama kawaida
Hakuna kipimo buku tumia hadi mwakaniView attachment 1023323
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetumia laini ya Voda kwa miaka kibao, lakini hapa naona nimefika mwisho wa kuitumia Voda huu ni unyonyaji hawajui maisha yamebana kwa wote, juzi ilikuwa 1500/= wakaenda elf 2000/= leo naona wamekuja 3000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo siyo sifa mkuu,maisha yanabadilika tambua hivyo pia jifunze kubana matumizi ufanye vitu vya maana, isijekuwa unafanya matumizi hayo future yako uje kuishi kwa kikokotooMm natumia 50,000Tsh kwa ajili ya bundle na 19999 kwajili ya kuongea mbona silalamiki tafuta mpunga kijana
Sent using Jamii Forums mobile app