University offer ya voda imebadilishwa au?

Mkuu habari yako kiongozi.

Well, line hii yenye vifurushi rafiki ni ya chuo au ya kawaida kiongozi...?

Na package zao za wiki au mwezi zikoje mkuu...?

Thanks a lot.
 
Tigo Utaenjoy dk na sms lkn Mb humalizi sbb ni km konokono. Kudownload file lenye mb 20 unachukua masaa 3. Ila voda nishahama kitambo. Nipo Tigo na Halotel (Kwa bundle la usiku GB 10 kwa buku)
Hapa kwangu siwezi kufikiria tig wala halotl....
Nikipata Airtel itakuwa afadhali
 
Hawa TTCL nimesajili leo laini ya chuo chakushangaza net yako haina tofauti na AIRTEL, halafu wanasema nipigie *148*30# nitapata bandle la chuo.. Hakuna chochote zaidi ya bhangi
 
Bando la chuo TTCL ni *148*30*35#
 
Hawa TTCL nimesajili leo laini ya chuo chakushangaza net yako haina tofauti na AIRTEL, halafu wanasema nipigie *148*30# nitapata bandle la chuo.. Hakuna chochote zaidi ya bhangi
Umeshavuta?
 
Back
Top Bottom