University offer ya voda imebadilishwa au?

University offer ya voda imebadilishwa au?

yaani huu ndo wizi sasa.. Weka hapa 7500 Halotel utapataje hicho kifurushi siyo hadi pm
PM namaanisha kwa anaye taka huduma ndo anifate anipe namba yake ili aweze kuota huduma ila Kama utataka huduma na utaweza weka namba yako hapa fresh weka tu Ila ni kwa halotel only.
 
Nyie mnakuja na huduma hizi mwisho wa ziku tunatapeliwa hata ww ni mgeni humu ndani ...WADAU TUWE MAKINI NA HUYU MTU

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mgeni na wapo wadau nishawaunga wanaweza kuja kushuhudia wakitaka... Sina lengo la kutapeli na waliokuja pm nadhani hapa wananipata zaidi
 
Back
Top Bottom