REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,964
Chanzo kilitokea vipi
Hapakuwa na "kabla" ya bing bang
Swali halina mantiki
Hapakuwa na "kabla" ya bing bang
Swali halina mantiki
Halina mantiki kwa sababu ni sawa na kuuliza north of north pole... how can there be north while its north pole! Huwezi kuuliza nini kilikuwepo kabla ya muda wakati huo muda wenyewe haukuwepoKwa nini halina mantiki ?
I see kweli physics Ni ngumu kishenzy!Wanasema huko nje kuna Multverse yaani universe zipo nyingi halafu zimejipanga parallel. Albert Einstein aliwahi kuja na Theory moja inadai kwamba kuna Features tunaweza kuziona huku duniani lakini source yake sio huku duniani au kwenye universe yetu. Nitatoa mifano miwili.
1. Satellite za NASA zilipopita juu ya bara la Antactica ziliface high electrons zinazotokea duniani eneo lile. Lakini walipochunguza wakaona hakuna source ya electrons pale. Wakahisi huenda electrons zile zinatokea kwenye universe nyingine ambayo iko parallel na yetu.
2. Ukienda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabisa. Lakini nafsi inakuambia kabisa hapo uliwahi kufika na unapafahamu. Theory hiyo inadai huenda wewe huyo huyo unaishi universe nyingine na umefika hilo eneo. Pia Theory inadai mtu mmoja unaweza kuishi kwenye parallel universe huku ukawa Polisi. Kule kwenye universe nyingine wewe ni Daktari, kwenye nyingine tena wewe ni Raisi wa nchi. Ila katika different parallel universes.
Nimecheka sana. Huwezi kujibu maswali yangu.
Muda ni sehemu ya 4 dimension space time continuum yenye mwelekeo mmojaNa unaposema time unamaanisha nini ?
Kiongozi..japo mimi haya madude siyajui vizuri lakini ukweli unabaki wanasayansi kupitia gunduzi zao tunazoziona za kufikirika wametusaidia Sana wanadamuVijana tatizo hawa hoji, halafu sisi tunao hoji wana anza kuuliza elimu zetu, na kujifaragua ? Nawaambia tu kujua elimu zetu hakuta wasaidia kitu wala hakuna uhusiano na hoja iliyopo mezani, cha msingi wajibu hoja basi. Hayo mengine hayana maana yoyote, ila huwa wakifikia huku kutaka kujua elimu ya muulizaji swali, huwa nacheka sana na kuona kazi imeisha na hana hoja.
Bora ufafanue kwa kingereza.. kiswahili kigumu Sana au uchanganye lugha zote mbiliSpace ni eneo lisilo na mipaka lenye kanda tatu (three dimension) ambapo matukio na vile vifanyiwavyo matukio vinashabihiana katika katika nafasi na muelekeo.
Hapa tunaongelea Sayansi ya anga na Cosmology.Kiongozi..japo mimi haya madude siyajui vizuri lakini ukweli unabaki wanasayansi kupitia gunduzi zao tunazoziona za kufikirika wametusaidia Sana wanadamu
Kwa mfano kupitia matheory yao haya ya ''kufikirika'' wametuwezesha internet na namna inavyofanya kazi..pia kurusha wawimbi ya tv..radio..simu n.k
Onyesha Kisayansi na kina nadhafia tuone mlivyo lijua.Kisayansi na kinadharia
Ahsante
Sijamkuta.Wewe ulipozaliwa ulimkuta kinjekitile ngwale?
Sasa si ndiyo utuonyeshe walijuaje au walitumiaje hizo teknolojia kujua hiyo idadi ya miaka, usituletee story.Hivi kwanini hujibu maswali yangu ?Lakini kwa kutumia teknolojia za kisasa na utaalam wa hali ya juu katika kuangalia historia tunapata kufahamu mambo yaliyokwepo muda mrefu uliopita kama vile uwepo wa dunia tangu miaka bilioni 3 iliyopita,uwepo wa dinosaria miaka milioni 200 iliyopita n.k unapotaka uambiwe wamelijuaje hilo nawe uwe tayari kukaa ufundishwe uelewe na si kupinga kabla hujaelewa mambo yanaendaje
Unaweza kuelezea kwa kiswahili ?Muda ni sehemu ya 4 dimension space time continuum yenye mwelekeo mmoja
Yaani jambo limekosea halafu niendelee tena kukosea kwa kutumia njia hizo hizo za Kisayansi ? Huu ni utoto kabisa.Unapopinga hoja uje na hoja yako sasa tunaomba utupatie hoja yako inayoweza kupingana na hoja zilizofanyiwa tafiti za kisayansi kwa kutumia teknolojia za kisasa kabisa na ushahidi wenye vithibitisho vya kutosha
mimi sijauliza kuhusu hayo na wala sijauliza nini kilikuwepo kabla ya kitu hiko.Halina mantiki kwa sababu ni sawa na kuuliza north of north pole... how can there be north while its north pole! Huwezi kuuliza nini kilikuwepo kabla ya muda wakati huo muda wenyewe haukuwepo
Halina mipaka, lina kanda tatu.Space ni eneo lisilo na mipaka lenye kanda tatu (three dimension) ambapo matukio na vile vifanyiwavyo matukio vinashabihiana katika katika nafasi na muelekeo.
Umethibitosha vipi kama hilo limetokea kweli ?Sio jaribio tu la kisayansi chombo kinachoitwa Pioneer kilifanya space mission na kimechukua video kabisa ya mzunguko wa dunia katika orbit yake! Sasa wewe karne hii bado unahoji jaribio la kisayansi.Appolo Astronauts walifika kabisa mwezini na wamefanya observation ya dunia ilivyo na bado unahoji kama dunia inazunguka au jua linaizunguka?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamanisha muda ulikuja/ulianza kuwepo from nothing.Halina mantiki kwa sababu ni sawa na kuuliza north of north pole... how can there be north while its north pole! Huwezi kuuliza nini kilikuwepo kabla ya muda wakati huo muda wenyewe haukuwepo
Kama hapakuwa na kabla ya big bang vipi kuhusu hivyo vilivyo ripuka.Hapakuwa na "kabla" ya bing bang
Swali halina mantiki
Nasubiri athibitishe, tukupoteze kabisa JF.Umethibitosha vipi kama hilo limetokea kweli ?
Nithibitishie hiyo Appolo kama ilifika kweli mwezini ? Ukiweza kufanya hivyo naacha kutumia hii Id.
Kwa uelewa wangu mdogo wa fizikia ,universe inatanuka(expanding) tangu mpasuko mkubwa(bing bang) hivyo masafa yanazidi kuongezeka kila kukicha.Hi Guys!
Katika tafiti tulizokaririshwa na kuaminishwa, ni mengi tumeambiwa na wanasayansi wanaodai wametoka nje ya dunia. Mojawapo ya mambo tuliyoambiwa ni kwamba kuna miaka Billions Light years ndipo uvuke universe yetu.
Kama tunavyofahamu speed ya mwanga ni 3 × 10^8 m/s. Na ninaposema one Light year namaanisha usafiri kwa hiyo speed kwa mda wa mwaka mzima, huo umbali utakaoenda ndio tunasema one light year, nadhani unapata picha ni umbali kiasi gani itachukuwa kwa takribani 93 Billion light years ukubwa wa universe yetu, maana yake tangu uumbaji kuna sehemu mwanga haujafika bado unasafiri.
Telescope za NASA au SpaceX zimefanikiwa kuona maeneo mengi sana na ya many light years ndo ufike. Itakuwaje zenyewe zione hayo maeneo kwa mda mfupi wakati bado mwanga still unasafiri, na tunajua tangu uumbaji, piga ua garagaza hiyo miaka 93 Billion light years hatuna. Hapo ndipo nilipogundua kumbe Universe yetu ni ndogo sana. Au unawezekana speed of light ni kubwa zaidi ya tunavyofikiri.
Pia nikatafakari nikaona kwamba mambo ya Time travel ni nadharia tu kwa mambo haya mawili yafuatayo.
1. Kama universe yetu ni ndogo basi hatutaweza kwenda future au past.
2. Kama speed of light ni kubwa kuliko tunavyodhani, basi Time Travel Mashine bado haijakidhi vigezo vya kutupeleka future au past.
Kama space imeanza baada ya big bang naomba kujua hivi..Space na muda ambavyo kwa pamoja vinaunda 4 dimension vilianza baada ya bing bang.kuna kitu kinaitwa causality ambapo ili jambo liwepo ni lazima kuna kisababishi au mfululizo wa matukio ambayo frame yake ni muda yawepo.space na muda ni vitu vinavyoenda sawia kwa hiyo space iliundwa na time na kama ulivyosema matukio yote yaliyofuata yalifanyika ndani ya space