Universe ni Ndogo: No light years between Planets or Galaxies

Universe ni Ndogo: No light years between Planets or Galaxies

Kasema wapi? Alimuambia nani?
Ngoja nikusaidie kwa hoja za kiakili tu, kwa akili yako au kwa ufahamu wako unahisi hii Dunia na vilivyomo havina mwenyewe ? Au vimetokea tu kwa bahati mbaya au "from nothing" au "imejitengeneza na kujitengeneza? "
 
Sehemu unayoiona mf.kivusli cha mti sio absence of light?
Kivuli ni absence of light due to its blockage lakini sio 100% blockage la sivyo "utaona" giza badala ya kivuli
 
Giza na kivuli tofouti ni ipi haswa percentage of blockage from light au absence of light?

Maana naona kote kunamaanisha NO LIGHT
Kivuli ni absence of light due to its blockage lakini sio 100% blockage la sivyo "utaona" giza badala ya kivuli
 
Vyema vinaongelea nini kabla ya kiama?

Mambo mengi mnoa, ila kabla ya Qiyama, kuna ishara za sampuli mbili, nazo ni :
1. Ishara ndogo
2. Ishara kubwa

Hizi Ishara ndogo zimetokea tayari nyingi miongoni mwazo.
 
Zinakuja bado zipo hewani nyingi hazijatimia ni jambo la muda

Mfano wa ishara ndogo ni :
1. Watu kukithiri katika kudanganya kwenye mizani.
2. Zinaa kutangazwa wazi wazi, yaani kuonekana ni jambo la kawaida.
3. Kukithiri kwa kujengwa majengo marefu
4. Kukithiri vifo vya ghafla
 
Wakipata wanacho kitafuta huenda watapata faida zaidi, assume wagundue sayari yenye kuweza kusupport uhai kama dunia ilivyo, au wakundue extra terrestrial ambao wako advanced kuliko sisi yani wana teknolojia ambayo iko so advanced kiasi kwamba sisi yetu inaonekana kama enzi za mawe?
Haitatokea.
 
Satellite my foot...they are only underground cables acha sound mzee
Wewe unaelewa hata nilichoandika?

Without Einsteinian Relativity inayotupa accuracy ya kuendesha satellite na GPS, hata hiyo underground cable ungewezaje ku synchronize time to high accuracy ufanye mifumo mbalimbali isipishane muda gradually na ku crash?
 
Mfano point a mpaka point b ni kilometer 3.ukiwa na chombo cha kusafiri kwa speed ya kilometer 3 kwa lisaa ina maana kwa chombo hicho utatumia lisaa limoja kucover hiyo distance ya point a to b.

Ok ukipata chombo chenye speed ya kilometer nne kwa sekunde ..je point a to b utakuwa umetumia muda gani??

TIME DOESNT EXIST IS JUST CHANGE IN EVENTS ,DAY AND NIGHTS AND GROWTH.
Duh Elimu haina mwisho aisee.

Hapa naona wengine elimu zetu ziliishia ndani ya darasa. Kuna umuhimu mkubwa wa kupata elimu nje ya darasa.
 
Giza na kivuli tofouti ni ipi haswa percentage of blockage from light au absence of light?

Maana naona kote kunamaanisha NO LIGHT
Sasa hapa siwezi jua percentage. Katika lugha ya kawaida ya kiswahiki, tuna giza nene au totoro, giza, giza la mbalamwezi, mchana, jioni etc na yote ni absence of light but in varying degrees. Giza ambalo ni absolute No Light labda la kwenye movie theatres wakizima taa zote.
 
Unapanuka kwa maana gani mkuu ?

Kwamba mwanzo ulimwengu ulikuwa kama puto alafu kadri siku zinavyokwenda ndo ulimwengu unapanuka kama vile ambavyo mtu anaouliza puto nalo kupanuka mkuu ama kupanuka kivipi ?
Sayansi ya mambo ya anga ina utata sana.
 
Huwezi kujua kila kitu kwa hiyo hakuna sababu ya kubisha vitu ambavyo huna ufahamu navyo ila waulize wanaojua wakufundishe

Yani Leo hi unapinga kuwa dunia haizunguki katika muhimili wake?
Sasa patia picha mtu uwezo wake wote wa kufikiri bado anaamini hivyo na anatarajia anaweza kuelewa mambo ya universe kiujumla [emoji28][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom