[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ningependa ufe nae haraka
Kuna mamtu yangekuwa yanakufa tu ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I don't know why nice people live shorterI wish my husband to live forever
Jamani basi tu kila nikiwaza kifo nikifikiria jamaa yangu nae atakufa huwa nalia sana
Amenipa dunia all the love I wished to have
I love him deeply.
Mungu ampe uzima.
Ina maana mpaka anakua utakua hivyohivyo single au umeamua kuishi kama mjane foreverUzi umenikumbusha mengi sana huu hadi machozi yamenitoka, nimefiwa na watu wengi lakini mtu ambaye sikupenda afe kabisa ni Mme Wangu, sijui kwanini mungu aliweka hili kifo, nikupitia hiki kifo hadi sasa hivi saa nane lakini nipo macho na usingizi sipati, miezi Tisa sasa imepita ya kipindi kigumu na changamoto ya kila sina, lakini naona nikama Jana tu, upumzike kwa amani huko uliko, sasa unaitwa baba faraja, ila atakapokua nakuniuliza mama yuko wapi baba sijui nitamjibu nini mwanao
Siku nyingine uache ngono zembeNdio maana ya kuwa na kizazi
Hao ndo hawadumugiI wish my husband to live forever
Jamani basi tu kila nikiwaza kifo nikifikiria jamaa yangu nae atakufa huwa nalia sana
Amenipa dunia all the love I wished to have
I love him deeply.
Mungu ampe uzima.
Tusipangiane matumizi ya uchi,kila mtu ana wakeSiku nyingine uache ngono zembe
Ina maana mpaka anakua utakua hivyohivyo single au umeamua kuishi kama mjane forever
Sasa usilalamîke mtoto utamjibu nini.atapata baba mwengine mwenye mapenzi ya dhati otherwise uamue kuwa single mother.by the way pole sanaMume comment kitu cha kipuunzi kuwa single na kubaki mjane ni mambo yangu binafsi