Ungetamani nani asife?

Uzi umenikumbusha mengi sana huu hadi machozi yamenitoka, nimefiwa na watu wengi lakini mtu ambaye sikupenda afe kabisa ni Mme Wangu, sijui kwanini mungu aliweka hili kifo, nikupitia hiki kifo hadi sasa hivi saa nane lakini nipo macho na usingizi sipati, miezi Tisa sasa imepita ya kipindi kigumu na changamoto ya kila sina, lakini naona nikama Jana tu, upumzike kwa amani huko uliko, sasa unaitwa baba faraja, ila atakapokua nakuniuliza mama yuko wapi baba sijui nitamjibu nini mwanao
Oooh sweetheart am sorry!May our Good Lord grant you the peace you're trying to find!!
 
Back
Top Bottom