Ungetamani nani asife?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
149,818
2,000
Au afe....!!!
Tunamaliza mwaka bado siku chache sana.... Wengi tumepoteza wapendwa wetu... Watu ambao tusingetamani wafe, mimi ni mmojawapo... Mtu aliyekuwa priority katika maisha yangu alitwaliwa kutoka maisha haya... My ever loved Mom ⚰ RIP
Brandy alipata kuimba... Have you ever loved someone.....
hqdefault.jpg
ulishawahi kumpenda mtu mpaka ukimuona pozi linakuishia? Ulishawahi kumpenda mtu mpaka ukimkumbuka unalia? Mapenzi yamewaliza wengi sana...
Mapenzi ni kitu kingine kabisa... Wanasema you stole my heart unajua maana yake? Yani ukilala ukiamka ukitembea ukila ukicheka unamuwaza yeye tuu... Husikii huambiliki... Shikamoo mapenzi... Ugali na mchunga unaweza kuuona mtamu kama pilau la kuku kama ukiwa na mwandani wako katika furaha....
Imagine uambiwe huyu mtu kafa.. Haya maumivu huwa hayana maelezo ya kutosheleza... Kuna mapenzi kwa wazazi, kuna mapenzi kwa ndugu, kuna mapenzi kwa watu baki lakini wakatufanyia makubwa maishani mwetu... Halafu kuna mapenzi ya mpenzi... Katika hayo yote ya mpenzi ndio salute! Watu hugombana mpaka na wazazi kwa sababu ya msonobari ama kwa sababu ya bumunda... Cheza na vyote mapenzi yape heshima yake....
Msikilize Celine Dion kwenye I love you
Msikilize Mill Wanill kwenye Am gonna miss you
Michael Jackson gone too soon
Heaven sent
I will be missing you...
Am your angel R. Kelly
Whitney Houston all at once...
Tell me its real Kci n Jojo
Please don't make me cry UB 40 etc
Njoo bongo fleva kuna mipini ya hatari.... Zote zikielezea hisia za mapenzi... Kila kabila kila tamaduni kila lugha wana jinsia zinazofanana kuelezea mapenzi... Usinikumbushe kuch kuch hotae... Sisi tulikuwa tunasema KWICHI KWICHI HATARI
Tunamaliza mwaka tuna mengi ya kunena kuhusu swala zima la mapenzi na mahusiano lakini lililo kubwa kuliko yote ni hili... Je kama ukipewa nafasi Ungetamani nani asife? Wasife?
Tusitaje ambao tungependa wafe.... Sio muktadha wa post na kuna wengine wataanza kusema Afande chama dola
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Au afe....!!!
Tunamaliza mwaka bado siku chache sana.... Wengi tumepoteza wapendwa wetu... Watu ambao tusingetamani wafe, mimi ni mmojawapo... Mtu aliyekuwa priority katika maisha yangu alitwaliwa kutoka maisha haya... My ever loved Mom ⚰ RIP
Brandy alipata kuimba... Have you ever loved someone..... View attachment 648884 ulishawahi kumpenda mtu mpaka ukimuona pozi linakuishia? Ulishawahi kumpenda mtu mpaka ukimkumbuka unalia? Mapenzi yamewaliza wengi sana...
Mapenzi ni kitu kingine kabisa... Wanasema you stole my heart unajua maana yake? Yani ukilala ukiamka ukitembea ukila ukicheka unamuwaza yeye tuu... Husikii huambiliki... Shikamoo mapenzi... Ugali na mchunga unaweza kuuona mtamu kama pilau la kuku kama ukiwa na mwandani wako katika furaha....
Imagine uambiwe huyu mtu kafa.. Haya maumivu huwa hayana maelezo ya kutosheleza... Kuna mapenzi kwa wazazi, kuna mapenzi kwa ndugu, kuna mapenzi kwa watu baki lakini wakatufanyia makubwa maishani mwetu... Halafu kuna mapenzi ya mpenzi... Katika hayo yote ya mpenzi ndio salute! Watu hugombana mpaka na wazazi kwa sababu ya msonobari ama kwa sababu ya bumunda... Cheza na vyote mapenzi yape heshima yake....
Msikilize Celine Dion kwenye I love you
Msikilize Mill Wanill kwenye Am gonna miss you
Michael Jackson gone too soon
Heaven sent
I will be missing you...
Am your angel R. Kelly
Whitney Houston all at once...
Tell me its real Kci n Jojo
Please don't make me cry UB 40 etc
Njoo bongo fleva kuna mipini ya hatari.... Zote zikielezea hisia za mapenzi... Kila kabila kila tamaduni kila lugha wana jinsia zinazofanana kuelezea mapenzi... Usinikumbushe kuch kuch hotae... Sisi tulikuwa tunasema KWICHI KWICHI HATARI
Tunamaliza mwaka tuna mengi ya kunena kuhusu swala zima la mapenzi na mahusiano lakini lililo kubwa kuliko yote ni hili... Je kama ukipewa nafasi Ungetamani nani asife? Wasife?
Tusitaje ambao tungependa wafe.... Sio muktadha wa post na kuna wengine wataanza kusema Afande chama dola

Ningependa Raisi Magufuli abakie Raisi wa JMTZ yangu milele na nyongeza ya milele!
 
mgunga pori

JF-Expert Member
Jul 23, 2016
2,887
2,000
Mkuu leo umeniachaaa pale same
Poleeee kwa kumpoteza mama yetu mola ampe pumziko la millele
Umesha enda chungulia nn kwa wale watoa kafara manake ckuelewii kabisa....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom