barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Ndo ilivyo, ukimuuliza mama yake atamtaja dinazarde badala ya mama yake.Wewe ndio pimbi kabisa yaani mama yako ndio wa3
Kwahio mwanao ni mbora kuliko mama yako aliokuzaa
Au ww ni bora zaidi kuliko mama yako
Mijitu mingine bana inaongeza nafasi za watu tu hapa duniani[emoji1321]