Ungetamani nani asife?

Ungetamani nani asife?

Uzi umenikumbusha mengi sana huu hadi machozi yamenitoka, nimefiwa na watu wengi lakini mtu ambaye sikupenda afe kabisa ni Mme Wangu, sijui kwanini mungu aliweka hili kifo, nikupitia hiki kifo hadi sasa hivi saa nane lakini nipo macho na usingizi sipati, miezi Tisa sasa imepita ya kipindi kigumu na changamoto ya kila sina, lakini naona nikama Jana tu, upumzike kwa amani huko uliko, sasa unaitwa baba faraja, ila atakapokua nakuniuliza mama yuko wapi baba sijui nitamjibu nini mwanao
Pole sana ndugu
 
Au afe....!!!
Tunamaliza mwaka bado siku chache sana.... Wengi tumepoteza wapendwa wetu... Watu ambao tusingetamani wafe, mimi ni mmojawapo... Mtu aliyekuwa priority katika maisha yangu alitwaliwa kutoka maisha haya... My ever loved Mom [emoji24] [emoji24] [emoji24] ⚰ RIP
Brandy alipata kuimba... Have you ever loved someone..... View attachment 648884 ulishawahi kumpenda mtu mpaka ukimuona pozi linakuishia? Ulishawahi kumpenda mtu mpaka ukimkumbuka unalia? Mapenzi yamewaliza wengi sana...
Mapenzi ni kitu kingine kabisa... Wanasema you stole my heart [emoji179] unajua maana yake? Yani ukilala ukiamka ukitembea ukila ukicheka unamuwaza yeye tuu... Husikii huambiliki... Shikamoo mapenzi... Ugali na mchunga unaweza kuuona mtamu kama pilau la kuku kama ukiwa na mwandani wako katika furaha....
Imagine uambiwe huyu mtu kafa.. Haya maumivu huwa hayana maelezo ya kutosheleza... Kuna mapenzi kwa wazazi, kuna mapenzi kwa ndugu, kuna mapenzi kwa watu baki lakini wakatufanyia makubwa maishani mwetu... Halafu kuna mapenzi ya mpenzi... Katika hayo yote ya mpenzi ndio salute! Watu hugombana mpaka na wazazi kwa sababu ya msonobari ama kwa sababu ya bumunda... Cheza na vyote mapenzi yape heshima yake....
Msikilize Celine Dion kwenye I love you
Msikilize Mill Wanill kwenye Am gonna miss you
Michael Jackson gone too soon
Heaven sent
I will be missing you...
Am your angel R. Kelly
Whitney Houston all at once...
Tell me its real Kci n Jojo
Please don't make me cry UB 40 etc
Njoo bongo fleva kuna mipini ya hatari.... Zote zikielezea hisia za mapenzi... Kila kabila kila tamaduni kila lugha wana jinsia zinazofanana kuelezea mapenzi... Usinikumbushe kuch kuch hotae... Sisi tulikuwa tunasema KWICHI KWICHI HATARI [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunamaliza mwaka tuna mengi ya kunena kuhusu swala zima la mapenzi na mahusiano lakini lililo kubwa kuliko yote ni hili... Je kama ukipewa nafasi Ungetamani nani asife? Wasife?
Tusitaje ambao tungependa wafe.... Sio muktadha wa post na kuna wengine wataanza kusema Afande chama dola
Nilitamani mnoo baba yangu asife ila kazi yake mola haina makosa.R .I.P my dady ....

Mapenzi ni matamu mno ukipata anaejua thamani ya mapenzi na moyo ikishibana ila mapenzi ya sasa haya ya kamali sidhani kama watu wana uchungu na mapenzi wao hivyo ww ukifa Leo mwenzio kesho ana kitu kipya hata wasiwasi hana .Mapenzi yalikuwa zamani lakini sasa tumebaki wachache tunaojua kupenda.
 
Ukifa hujui kama umeumizs watu sawa na mtu mjinga hajijui kama ni mjinga ila wanaojua ndiyo wanaoumia.
 
Uzi umenikumbusha mengi sana huu hadi machozi yamenitoka, nimefiwa na watu wengi lakini mtu ambaye sikupenda afe kabisa ni Mme Wangu, sijui kwanini mungu aliweka hili kifo, nikupitia hiki kifo hadi sasa hivi saa nane lakini nipo macho na usingizi sipati, miezi Tisa sasa imepita ya kipindi kigumu na changamoto ya kila sina, lakini naona nikama Jana tu, upumzike kwa amani huko uliko, sasa unaitwa baba faraja, ila atakapokua nakuniuliza mama yuko wapi baba sijui nitamjibu nini mwanao
Pole dada, ni njia ambayo sisi sote tutaipitia including faraja
 
This year I lost my grandfather who used to hate my mother (at least in the eyes of the people). It did not pain me as it made no difference, he was not great to me though he was everything my father cared about. I had to attend the funeral to please and comfort my father as I wanted to extend the big support to my father. I got an opportunity to see my grandfather for the last salutation, I remembered some few staffs and words we used to exchange whenever we got time, but fine, its fine he is gone.
 
Bi mkubwa wangu maana ndo alikua rfk yngu wa kwl aseee na nahisi hata hizi changamoto zisingekua halali yangu aseee

RIP mom you still missed en loved
 
Kwanza natamani mim nisife halaf anafata

Mtoto wangu
Mama yangu

Wewe ndio pimbi kabisa yaani mama yako ndio wa3
Kwahio mwanao ni mbora kuliko mama yako aliokuzaa
Au ww ni bora zaidi kuliko mama yako
Mijitu mingine bana inaongeza nafasi za watu tu hapa duniani[emoji1321]
 
Back
Top Bottom