Zimefika.
Mimi sijui nitoke na nani.
ngoja nijinadi mwenyewe.
ni Kijana mtanashati wa kawaida,
najitahidi kwenda na wakati katika mambo kadhaa,
napiga ulabu, lakini ni mara chache sana naenda bar,
napenda kusoma Siasa Uchumi, Pure Science paper, Applied research, kulima bustani na kupika.
Napenda kuendesha gari for funny site watching
Mcha Mungu pia msomaji mzuri wa biblia.
Naamini kwa dhati uwepo wa Extraterestial being ambao some ni more knowledgeable than us.
According to my research vitabu vya Physics na Electrical engineering vinafuata model yenye kuamini Eather ni real material lakini katika kufundisha vinakataa uwepo wake.
Napenda demu mzuri wa sura na tabia,muelewa, strong na mwenye vision ya kifamilia.
Ningependa kama anatoka Kusini nynda za juu hasa Iringa.
Uzi hauja specify jinsia.
Wengine wanakula kote kote
lol!boss bana!ngoja tusubiri,maana najuwa status yako kubwa hapa,but for Kongosho let's wait and see,maana naona "mlishaangushiana nyota"lol!
Hivi kuna demu ambaye hajawahi kukuzimia humu?!
Sikujuwa umeshachukuliwa...
Ha ha ha ha, nimechukuliwa kwenda wapi??
Mie niko MMU kila siku.
🙂 🙂
Sikujuwa umeshachukuliwa...
Ha ha ha ha, nimechukuliwa kwenda wapi??
Mie niko MMU kila siku.
🙂 🙂
Naskia "mmeflash kifunguo chooni" mara baada ya "kujifungia" kwenye maximum prison of love...this realy broke ma heart...
Hii thread kumbe inaendelea ngoja nimtaje wa kutoka nae...............
Naskia "mmeflash kifunguo chooni" mara baada ya "kujifungia" kwenye maximum prison of love...this realy broke ma heart...