Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,232
113,610
Tukizungumzia kinadharia (au hata kikweli kweli), je hapa JF ni nani ambaye unaona ungeweza kutoka naye kama mtu na rafiki yake wa kimapenzi? Ni mwanachama yupi ambaye unaona au kudhani unaendana naye kiasi cha kama ungeweza au ingewezekana, ungependa kutoka naye?

Hii mada ni kwa wote...akina dada pamoja na akina kaka. Haina maana kwamba ukisema ningependa kutoka na fulani basi huyo fulani ndio adhanie kuwa tayari umeshamkubalia kutoka naye. Si hivyo hata kidogo ingawa kama wenyewe mkija mkielewana kihivyo baadaye basi hiyo itakuwa ni juu yenu.
 
Hahahahahahaha mdada akisema ningeweza kutoka na njemba A basi njemba itaongeza miPM kibao ili kufukuzia bahati yake. Ungeanza mwenyewe lakini safari hii tunataka jina jipya si kati ya yale tuliyoyazoea hahahahahaha usiniulize ni majina yepi...maana naogopa kuchema...LOL!
 
Hahahahahahaha mdada akisema ningeweza kutoka na njemba A basi njemba itaongeza miPM kibao ili kufukuzia bahati yake. Ungeanza mwenyewe lakini safari hii tunataka jina jipya si kati ya yale tuliyoyazoea hahahahahaha usiniulize ni majina yepi...maana naogopa kuchema...LOL!

Wa kwangu anajijua tayari na kama akisoma hii mada atajikuta anatabasamu mwenyewe tu bila kupenda...yes you know who you are....my sugar cake....
 
Wa kwangu anajijua tayari na kama akisoma hii mada atajikuta anatabasamu mwenyewe tu bila kupenda...yes you know who you are....my sweet angel....

Good for you!...lakini nadhani wengine wangependa kumfahamu huyo mwenye bahati ya mtende...LOL!
 
Du hapo sasa kasheshe, afadhali ungelitupambanulia kwanza ni wapi wanaomilikiwa ili tusiwaguse. Mambo ya Kunguru mwoga yakhe!.:brick:
 
Aisee kama ni kwa kufuata avatars basi Maria Roza na Firstlady maana hizo sura kwenye pic mh very beautiful. Kama ni kwa kufuata hoja na akili I think WoS is very intelligent. Samahani kama yoyote niliye mtaja ni mtu mzima au mke wa mtu.

Lol...kwa FL1 na WoS. ni sawa.....lakini huyo binti Maria huyo....why do I have a sneaky suspicion that she/ he is a.......
 
Lol...kwa FL1 na WoS. ni sawa.....lakini huyo binti Maria huyo....why do I have a sneaky suspicion that she/ he is a.......

U see hii thread tricky...But NN kama muanzisha mada you should be candid by setting an example - still waiting for the name... Lkn kumbuka things are not what they seem to be...isije ikawa ni mtu wa same gender...
 
Binafsi napenda sana kucheka ili kuongeza urefu wa maisha,kama ningepata nafasi ya kutoka na BHT au PRETA nahisi siku hiyo ningeongeza mwaka katika kipindi changu cha kuishi hapa duniani,najua my wife wangu hawezi kuwa na neno kabisaaaa,waoo tuuuuuu
 
Mie ni kati ya PRETA, FL na BHT au wote

NN mwanzisha mada I wish uliweka conditions mojawapo ikiwa mtu akishatajwa (picked) asitajwe tena. Naona ishakuwa fujo sasa kila mtu sasa anamtaka Preta Preta noma hii hapa sio Manzese wakuu. Ila the good thing ni kwamba I was the first to pick Preta so mliofuata wote imekula kwenu tafuteni wengine, of course bado yeye Preta mwenyewe ndio mwamuzi wa mwisho.
 
Back
Top Bottom