Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Ungependa kutoka na nani hapa JF....

he he he, i hate you and your fake kopez.

Kwanini unataka kunyanyua kope za watu bila sababu?

I thought you know me, agggrrrr!

Am I sniffing something here? Nosy nosy me! Mwali rudiiiiii nikuambie kitu changu
 
Last edited by a moderator:
he he he, i hate you and your fake kopez.

Kwanini unataka kunyanyua kope za watu bila sababu?

I thought you know me, agggrrrr!

Dont hate me, hate the damned game, hehehehe! Kope Kama ufyagio!:wacko:
The Boss, njoo huku na wewe ujishangalie. Leo Nina mood ya uchonganishi.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha hii ni ya 2012 huyo niliyemtaja 2010 or 2011 tulishatoka nae sasa hivi nataka kumtaja mpya...Mzima lakini wewe

Kumbe inaruhusiwa kubadilika mwelekeo eeh? Mie nasubiri changuo afe, till death do us part.
mie mzima, Mbona unamisika hivyo? AMA uliogopa kudoewa futari? Hongera na mfungo.
 
Kumbe inaruhusiwa kubadilika mwelekeo eeh? Mie nasubiri changuo afe, till death do us part.
mie mzima, Mbona unamisika hivyo? AMA uliogopa kudoewa futari? Hongera na mfungo.


Ha ha ha kudoewa futari ha ha ha nimecheka mpaka mkoloni kaniuliza... Karibu IDD basi
 
Du, aiseeee, ningependa nitoke na mwalimu!!!! Nadhani mnamjua sana na yeye anajijua.
 
Kumbe inaruhusiwa kubadilika mwelekeo eeh? Mie nasubiri changuo afe, till death do us part.
mie mzima, Mbona unamisika hivyo? AMA uliogopa kudoewa futari? Hongera na mfungo.


Ha ha ha kudoewa futari ha ha ha nimecheka mpaka mkoloni kaniuliza... Karibu IDD basi
 
Ha ha ha hii ni ya 2012 huyo niliyemtaja 2010 or 2011 tulishatoka nae sasa hivi nataka kumtaja mpya...Mzima lakini wewe


Nakuona tu kwa jicho la tatu, wewe endelea.......

Njoo uhesabiwe, sensa imekaribia.....
 
Nakuona tu kwa jicho la tatu, wewe endelea.......

Njoo uhesabiwe, sensa imekaribia.....

Ha ha ha potelea wapi wewe nakuja 25 August 2012 kuhesabiwa muhimu nisije mkaninyang'anya uraia wangu wa Mbulu bure
 
Tukizungumzia kinadharia (au hata kikweli kweli), je hapa JF ni nani ambaye unaona ungeweza kutoka naye kama mtu na rafiki yake wa kimapenzi? Ni mwanachama yupi ambaye unaona au kudhani unaendana naye kiasi cha kama ungeweza au ingewezekana ungependa kutoka naye?

Hii mada ni kwa wote...akina dada pamoja na akina kaka. Haina maana kwamba ukisema ningependa kutoka na fulani basi huyo fulani ndio adhanie kuwa tayari umeshamkubalia kutoka naye. Si hivyo hata kidogo ingawa kama wenyewe mkija mkielewana kihivyo baadaye basi hiyo itakuwa ni juu yenu.
Jamani mm naomba mniachie Madamex.
 
Back
Top Bottom