klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Hakyanani mwanafunzi nishafeli. khaaa!Hairuhusiwi hata kidogo.....si kwenye thread si nje ya hapo :]
nitaludia mwaka
Hakyanani mwanafunzi nishafeli. khaaa!Hairuhusiwi hata kidogo.....si kwenye thread si nje ya hapo :]
uliona wapi eti mtu anatuma MPesa kwa mtu asiyewahi kumuona wala kuongea naye! Sio hekaya za abunuwasi kisa cha kukata tawi alilokalia!Basi tuitungie kitabu.....lol
uliona wapi eti mtu anatuma MPesa kwa mtu asiyewahi kumuona wala kuongea naye! Sio hekaya za abunuwasi kisa cha kukata tawi alilokalia!
Hakyanani mwanafunzi nishafeli. khaaa!
nitaludia mwaka
Kisa aliona Avatar ya mwanamke mrembo au? hahahahah hiyo kweli hekaya ya Abunuwasi kama si Alinacha
akachati nae akamtumia hela ya nauli laki 2 amfate dar kumbe ni mwanaume anaomba amrudishie hela anadaiwa etikisa aliona avatar ya mwanamke mrembo au? Hahahahah hiyo kweli hekaya ya abunuwasi kama si alinacha
Mbona umetumia nafsi ya tatu mwalim?, unazidi kunifelisha.......unasema mwalimu atakufelisha au? (s'cheki)
aliambiwa simu haina sauti speaker mbovuuliona wapi eti mtu anatuma mpesa kwa mtu asiyewahi kumuona wala kuongea naye! Sio hekaya za abunuwasi kisa cha kukata tawi alilokalia!
Halaf tangu utokee huo mkasa uporoto haonekani hapa jamvini.Kisa aliona Avatar ya mwanamke mrembo au? hahahahah hiyo kweli hekaya ya Abunuwasi kama si Alinacha
Ikisha akaja kulalamika humu! LOL
Halaf tangu utokee huo mkasa uporoto haonekani hapa jamvini.
Sijasema kwamba ni uporoto wajameni
Hahahaha!! Nimepona asanteThe finest umepona ? Pole
hehehe tembelea ile sredi, unaweza ukajikuta unamkumbuka ufudu hafla moja.Kwa bahati tapeli wake alimstiri hakumtaja jina au ?
hahaha this is too funny
aliambiwa simu haina sauti speaker mbovu
Hivi Kaizer ulisema unatoka na nani tena vileeeee???
Aisee wewe mzembe unatoka na nani?hehehe tembelea ile sredi, unaweza ukajikuta unamkumbuka ufudu hafla moja.
nalog out sasa, naenda kwa dobi kumpigia pasi waifu tenge lake.
Dah! waume b w ege tunaonewa jameni