The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Hebu soma heading thread inasemaje halafu ujibu stop dodging....halafu cute tiny fish yuko wapi banaaajf is never boring lol
Hebu soma heading thread inasemaje halafu ujibu stop dodging....halafu cute tiny fish yuko wapi banaaajf is never boring lol
Hebu soma heading thread inasemaje halafu ujibu stop dodging....halafu cute tiny fish yuko wapi banaaa
Hahahaha!! Hapa niko washroom nimemuacha amelalakalale aisee
AD anakusubiria huko aisee lol
Yes Yes hapa hadi kieleweke The Boss sijui ataanza kutupa stori gani.....halafu unakumbuka Kongosho alisema simu ya The Boss ilikuwa haipatikaniBoss tangaza hadharani ......hatutaki 'unjufu' saa hizi
Boss tangaza hadharani ......hatutaki 'unjufu' saa hizi
Yes Yes hapa hadi kieleweke The Boss sijui ataanza kutupa stori gani.....halafu unakumbuka Kongosho alisema simu ya The Boss ilikuwa haipatikani
nitangaze nini?
na wewe hulali kabisa leo? lol
Kongosho hamfai The Boss hata kidogo ...................she is too manly................-eeeeeewwwww
`just sayin' ..lol
Mwambie tunakesha leo.....ila that tiny cute fish anamfaa sana The Boss ingawa mwenyewe Boss anaweza kuanza kujivunga hapa...lolTangaza "ungependa kutoka na nani hapa JF" ....ahsante
yeah silali :]]
kwa maoni yako unaona nani ananifaa? lol
halafu wewe mimi nilidhani wale aliowataja TIGGER watu wawili tofauti???au?
Maoni yangu got nothing to do with it. Wewe taja mwenyewe usitubabaishe
Tigger kawataja watu wawili, lakini mmoja kamtaja kwa majina yake kama manne ......au ulikusudiaje?
Mwambie tunakesha leo.....ila that tiny cute fish anamfaa sana The Boss ingawa mwenyewe Boss anaweza kuanza kujivunga hapa...lol
so katika hao wawili which one you like or you are dating?
Dah!!! Kwa ku-divert mjadala sikuwezi.......kwa sasa hapa jambo ambalo liko mbele yetu ni kufahamu kuwa The Boss anatoka na nani hata kama umewapanga watano sema tu tutawaomba members wapige kura nani anakufa...lolso katika hao wawili which one you like or you are dating?
unajua The Finest....
that tiny cute fish alikuwa a bit unknown before ile thread...
sasa the game is up lol....
there are more players than you can imagine....na the price of the fish has changed lol
Mpaka tigger naye kamuulizia kweli sasa naamini there are more players than i can imagine.....back to the topic unatoka na nani???unajua The Finest....
that tiny cute fish alikuwa a bit unknown before ile thread...
sasa the game is up lol....
there are more players than you can imagine....na the price of the fish has changed lol
Dah!!! Kwa ku-divert mjadala sikuwezi.......kwa sasa hapa jambo ambalo liko mbele yetu ni kufahamu kuwa The Boss anatoka na nani hata kama umewapanga watano sema tu tutawaomba members wapige kura nani anakufa...lol

Mie nitatoa maoni yangu kwa uhuru kama kuna list iloyo wazi