Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
daaah my sugar cake rejao. Na invisible na paw mkuurejao amedakwa boda la botswana anavusha ngozi za nyani kiharamu, kesi yake itasomwa kesho
daaah my sugar cake rejao. Na invisible na paw mkuurejao amedakwa boda la botswana anavusha ngozi za nyani kiharamu, kesi yake itasomwa kesho
Invizbo na PAW wamekumbwa na mabomu ya mbeya, tukipata taarifa zaidi tutawajulisha.daaah my sugar cake rejao. Na invisible na paw mkuu
heheeh mwalim bili zako zote za mwezi huu nitalipia mimi, jitahidi nipate acc number yako mapema. (simaanishi kwamba hauna uwezo lakini nimejiskia kukuzawadia tu)
poa poa ila mimi sina matusitangazo invizbo na paw wamekumbwa na mabomu ya mbeya, tukipata taarifa zaidi tutawajulisha.
ukijiskia kutukana kwa leo wee tukana tu hakuna ban leo.
nb: Ukitukana usiiquote hii post yangu
Ni Lawyer, think! mwalim think!hahaha naoan unajihami na disclaimer moja matata sana
Kumbe katoto kazuri wewe, harusi yako nitahuzuriapoa poa ila mimi sina matusi
Ni Lawyer, think! mwalim think!
Mbona sioni wanawake kujitokeza ??
gaijin kwa heshima naomba nikuulize swali moja wewe ni mwanamke au mwanaume?hahaha naoan unajihami na disclaimer moja matata sana
Halaf mwanafunzi kutoka na mwalim inaruhusiwa kwenye hii sred?Unakaba kote kote.....hata wale wabishi mashuhuri wa JF wanakosa pa kuingilia. lol
Halaf mwanafunzi kutoka na mwalim inaruhusiwa kwenye hii sred?
gaijin kwa heshima naomba nikuulize swali moja wewe ni mwanamke au mwanaume?
haijalishi mbona kuna wababa humu wameweka avatar za mabinti jamani ? Hujasikia ile issue ya mpesa?kwani avatar yangu inasemaje?
haijalishi mbona kuna wababa humu wameweka avatar za mabinti jamani ? Hujasikia ile issue ya mpesa?
haijalishi mbona kuna wababa humu wameweka avatar za mabinti jamani ? Hujasikia ile issue ya mpesa?
JF bwana badala ya kujadili mada za maana mnajadili upupu...
Sijaisikia ....ilikuwaje?
hahaha inafanana na hekaya za abunuwasi.....