Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Hahaha Kongosho umenichekesha sana.

Au unambully The Boss huko?

Sio suala la kucheka, naweweseka, nitumie ambulance. Nilitaka kuanzisha sredi ye The Boss yuko wapi nikaona ntawachosha wadau bure. Kinachosumbua zaidi ni kuzima simu na kung'oa line ya mtaa mzima ili tusimpate.
 
Shaka ondoa mwaya

Kama mwanzo ulifikia hatua ya kupata namba yake ya simu, upo pazuri

Vuta subira tu :]
 
jamani mmenionea rejao au invisible au paw mahali nataka nitoke na mmoja leo
 
Shaka ondoa mwaya

Kama mwanzo ulifikia hatua ya kupata namba yake ya simu, upo pazuri

Vuta subira tu :]

Akirudi atanitambua, ananizungusha sana mara mama yupo njoo kesho, nikienda siku inayofuata ananiambia kaka zake wapo. Yaani hawa wa-sekondari wanasumbua, any way nshafika bei ache niende naye taratibu.
 
Hebu mwalim ninong'oneze nani kanitaja? japo nimeokoka lakini zambi haiachwi ghafla bana!

Unajua tatizo moja...mmewaambiwa mnapenda wanawake wenye 'aibu'. Sasa maelezo yote wameamua kuyatuma kwa njia ya PM.

Ila naamini katika hali ya kaiwada suala linalotakiwa kuulizwa ni "nani hajanitaja?" coz you are irresistible!
 
heheeh mwalim bili zako zote za mwezi huu nitalipia mimi, jitahidi nipate acc number yako mapema. (simaanishi kwamba hauna uwezo lakini nimejiskia kukuzawadia tu)
 
Back
Top Bottom