Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Mkuu hii mada ni very interesting...I will go straight to the point..Mimi nadhani nita-enjoy sana kutoka FL1 coz I think she is smart and romantic....Pia WoS is a nice and intelligent woman but i thnk she is too feminist otherwise she is cul..

asante sana Womanizer isiwe tabu we fanya kidate tutatoka life is too short eeh!:A S 100:
 
yaani we acha tu!! mi najiuliza nikimtaja mtu ninyetamani kum-date husband sijui ata-react vipi??

hebu nishauri hapo mamii......

Shosti niPM basi anagalau nimjue mie kisirisiri shemeji asimjue............angalizo BHT asije kuwa wangu tu maana hapatatosha hapa...........:smile:
 
mi nilisha sali sala za mwezi mzima (in advance) ntaanza tena kusali mwezi ujao tar 1 napo napiga za mwezi....

Asante mtumishi wa Mungu... Naomba tarehe 1 tusali pamoja
 
Shosti niPM basi anagalau nimjue mie kisirisiri shemeji asimjue............angalizo BHT asije kuwa wangu tu maana hapatatosha hapa...........:smile:

hahaaaa lol!! yaani mie na wewe wa kuibiana??? ntakunong'oneza subiri........
 
Shosti niPM basi anagalau nimjue mie kisirisiri shemeji asimjue............angalizo BHT asije kuwa wangu tu maana hapatatosha hapa...........:smile:

Comment of the week! Loves it.
 
yaani we acha tu!! mi najiuliza nikimtaja mtu ninyetamani kum-date husband sijui ata-react vipi??

hebu nishauri hapo mamii......

Mhhh!!!! Hapa nahesabu MAUMIVU! Kuna Rimjamaa rimejibu "We nitaje tu"
 
Tukizungumzia kinadharia (au hata kikweli kweli), je hapa JF ni nani ambaye unaona ungeweza kutoka naye kama mtu na rafiki yake wa kimapenzi? Ni mwanachama yupi ambaye unaona au kudhani unaendana naye kiasi cha kama ungeweza au ingewezekana ungependa kutoka naye?

Hii mada ni kwa wote...akina dada pamoja na akina kaka. Haina maana kwamba ukisema ningependa kutoka na fulani basi huyo fulani ndio adhanie kuwa tayari umeshamkubalia kutoka naye. Si hivyo hata kidogo ingawa kama wenyewe mkija mkielewana kihivyo baadaye basi hiyo itakuwa ni juu yenu.

Hahahahahahaha nyie naona mnafanya utani tu kila mtu hataki kumtaja kipenzi chake kwa kuogopa mwenzie naye ni huyo huyo...ikiwa ni kweli hivyo patakuwa patamu sana ya patashika nguo kuchanika lakini mkono kwa mkono tu hakuna kisu, bastola wala rungu....LOL!

...ha ha ha,...BAK umeshtukia ee? watu mpaka vivulini bado wanakimbiana!
Potelea pote litalokuwa na liwe, yanini kufa na tai yangu shingoni bana.... Mimi namtaja 'anayenitia homa', ...noma na iwe noma- MWANAJAMII ONE!!!
 
Hodiiii.....kunani humu!?
Mi basi kwa vile sijatajwa wala kutakwa.....naomba kwa heshima na taadhima nimchague my wifey wangu tutoke kesho!
Anajijua na akiona hii atatafurahi sana.
 
Hata mimi pia,sema huyu mtu mtata sana haeleweki ni wa vipi,kama Semenya flani hivi!!


Mchajikobe usijali kuhusu jinsia yangu..Naona wewe na Xpin mmeamua kunitaja lakini mkumbuke mie nimeshampenda mtu mwingine simnakumbuka kuleee..Namzimia ile mbaya siku hizi hata ndoto nyingi namuoata yeye..je mko tayari niwadanganye?Babu Kijana yeye kakubali nimdanganye hata kama anajua kwamba mimi nampenda mtu mwingine...naona list inaongezeka,utaweza kweli?
 
Hii sredi inaonesha ni kwa jinsi watu wanazimiana hapa JF teh teh teh LOL... Yaani asante sana NN leo u just made my day......
 
Hodiiii.....kunani humu!?
Mi basi kwa vile sijatajwa wala kutakwa.....naomba kwa heshima na taadhima nimchague my wifey wangu tutoke kesho!
Anajijua na akiona hii atatafurahi sana.

humu kuna chagulaga inaendelea
 
Masikini mie nilietaka kumtaja kesha twaliwa..simtaji kuepusha ugomvi bure...Ama kweli asie na bahati habahatiki.
 
Bonge la mada kwakweli. Kwa mtazamo wa haraka haraka FL1 na Preta wameuzika sana humu ndani na hii ndio maana JF haitumii majina na location za ukweli otherwise unafikiri mume wa FL1 angewaacha hivi hivi wale wote waliomtaja mkewe mrembo
 
...ha ha ha,...BAK umeshtukia ee? watu mpaka vivulini bado wanakimbiana!
Potelea pote litalokuwa na liwe, yanini kufa na tai yangu shingoni bana.... Mimi namtaja 'anayenitia homa', ...noma na iwe noma- MWANAJAMII ONE!!!
Yesu wangu Mbu ............... leo nimeamini ile wanayoiita koinsidensi- nimejizuia sana kusema maana si unajua tena- mtoto wa kike uso umeumbwa na haya ati. I was thinking of you yaani hili swali la NN nimelijibu kimoyomoyo kwa kukutaja wewe lol. Aksante hata mie ninatamani sana kutoka na Mbu...........Yes I am saying it again its Mbu lol. Jioni njema wanajamii
 
Oooh my bad! No ill intensions whatsoever!!

I know Masaki I know baby but the thing is Nyamayao ndio the real African Queen hata kama hana time itabidi umsubiri...ila ukitaka tukutane during lunch break i would love to see you... ila date hapana...
 
Back
Top Bottom