Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Ungependa kutoka na nani hapa JF....

jamani Binti senti 50 popote ulipo (mambo ya vijisenti hayo huenda nikapata nafasi ya liyumba) lol:hug:
 
Mkuu hii mada ni very interesting...I will go straight to the point..Mimi nadhani nita-enjoy sana kutoka FL1 coz I think she is smart and romantic....Pia WoS is a nice and intelligent woman but i thnk she is too feminist otherwise she is cul..
 
:confused2: kweli sifai hata cjatajwa japo kuwa namzikia m2 fulani anona aibu kumtaja najua anajua
 
:confused2: kweli sifai hata cjatajwa japo kuwa namzikia m2 fulani anona aibu kumtaja najua anajua

Usione aibu mtaje tu kama yupo ili ajue zaidi kuwa unamzimikia. Na si kwamba hufai unafaa sana tu Ngonzi
 
Usione aibu mtaje tu kama yupo ili ajue zaidi kuwa unamzimikia. Na si kwamba hufai unafaa sana tu Ngonzi

mwambie bibie

kila mtu ana wake!! jamani hii topic bana.......JS mambo mamii???
 
tatizo hawatoshi hiyo gender nyingine humu janvini!

tunakabana makoo tu
 
mwambie bibie

kila mtu ana wake!! jamani hii topic bana.......JS mambo mamii???

Mambo poa hofu kwako darling wangu. Hii topic imekaa kimitego naisikilizia tu hapa.
 
Mambo poa hofu kwako darling wangu. Hii topic imekaa kimitego naisikilizia tu hapa.

yaani we acha tu!! mi najiuliza nikimtaja mtu ninyetamani kum-date husband sijui ata-react vipi??

hebu nishauri hapo mamii......
 
mi najiuliza nikimtaja mtu ninyetamani kum-date husband sijui ata-react vipi?? hebu nishauri hapo mamii......
we nitaje tu....
jamaaangu sana yule....
ataelewa tu
 
Back
Top Bottom