Unga unamuharibu Albert Mangwea

Unga unamuharibu Albert Mangwea

HI-HOP BILA MADAWA...
1.Lord Eyez
2.Chid Benz
3.Dogo Hamidu
4.Mr.Blue
5.Young Dee
6.Bou Nako


Loading...
 
Kazi ipo alipitiliza baada ya kulala juzi m paka leo hajaamka tena kama ni hayo makitu aisee hatari sana.
 
Heroin inamwambia chill out(slow rate of heart beats),wakati cocaine inamwambia let's go(faster rates of heart beats),kwahiyo hapo ndo maana mix ya madawa hayo mawili ni even more dangerous,maana moyo unakuwa literarly haujui cha kufanya.

Na pia heroin na crack cocaine ni extremely addictive.

Ujinga wa kumix the two ni ujinga zaidi ya kusema tu huu "ujinga wa kutumia tu madawa"
 
huo ni uzushi na umbeya,mnyamwezi Ngwea anaishi na demu wake wa kishua,tena kwenye mjengo wa kueleweka ushuani uko.

duh mkuu tunaskilizia mipango inakwendaje...sunajua mchizi amekatia mbali so ni mlolongo flan

mzee matumbo baada ya kuona watu ni wazushi na wambea
sa hivi unaliongeleaje hii kitu hasa baada ya ripot ya daktari......

Lisemwalo lipo....................
kama ni mtaalam wa mithali unaweza malizia #kimya kimya#
 
Last edited by a moderator:
mzee matumbo baada ya kuona watu ni wazushi na wambea
sa hivi unaliongeleaje hii kitu hasa baada ya ripot ya daktari......

Lisemwalo lipo....................
kama ni mtaalam wa mithali unaweza malizia #kimya kimya#
Kuna Pusher humu anaitwa@matumbo ndio povu lilikuwa linamtoka, hatimaye Ngweair is no more na Mungu amuweke mahala anapostahili Amen.
 
amani kwa Kaka Voda Milionea
Washtue wanao waache poda wale mmea...

Jipange...

Haha nimepitia vyema uchambuzi wa JF.Kweli JF noma,kila kitu kinapatikana humu.AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA

Langa Ni Nomaaa bars zakutosha hizo 2009-Im Gangstar

AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA MWAMBIE MDOGO WAKO AACHE ULIBERALI NA UMBEA(03:08)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom