Unga unamuharibu Albert Mangwea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unga unamuharibu Albert Mangwea

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, Nov 21, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF,

  Leo nilikuwa naangalia EATV kipindi cha Ujenzi.. Daah Mangwea ameharibika kwa kutumia unga wadau kama kuna mtu ameangalia atakubaliana na mimi yani sauti haitoki kama teja.

  Chonde chonde, unga nomaaaaaa! Wasanii mnaotumia mapoodaa muigeni Langa..

  Nawasilisha..
   
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  siwanaona ufahari kujilipua na maunga, sasa athari zake ndo kimbembe.... Unga nomaaaaa!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu valid daa anasikitisha sana ngwea,wamshauri aache unga
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Huwa wanajisahau kabisa wakianza kushika pesa nyingi kabla hawajajiandaa kisaikolojia!!wanalivamia jiji na starehe zisizo size yao!!anahitaji ushauri atoke humo janga zito!!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  True Dat Skills
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mungu atamuondoshea yeye na wengine.
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kuna kale kasaloon kakiume jirani na Kinondoni Hosp sijui kanamilikiwa na nani jamani.....maana hao wasanii wala unga karibia wote utawakuta wanastua pale mchana wa jua kali
   
 8. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  hii kitu noma yaani hata mkali wangu TID naona muonekano wa kinyamwezi hana tena!!!!
   
 9. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  kausha basi!
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,170
  Trophy Points: 280
  sasa ni zamu ya T I D, anajidunga ile mbaya, anasema unampa sauti nzuri
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wadau TID nae ndo anaelekea huko huko labda ahame kule mkwajuni anapokaa.
   
 12. v

  valid statement JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  si ndo wanasema maskini akipata ****** hulia...
  Sasa unga na kutoa sauti vina uhusiano gani ?
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Langa mchanga wa macho wewe subiri shekeli zimwendee sawa atarudi na nyimbo ya MOLA niokoesi unakumbuka TID wapi sasa alipo aibu sisemi sana
   
 14. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Dah umenikumbusha track ya Ngwea, Gheto. kitambo hicho Ngwea yupo juu
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Kwakweli hii kitu ni kumuomba mungu akuepueshie pia awaapushie familia yako na wote wanaokuhusu.

  Kuna mdogo wangu, alipotelea maeneo ya pale Mchikichini. Kwakweli inauma sana kila nikimuna. Namshukuru mungu tulifanikiwa kumuachisha. Baada ya kumuhamisha na kumrudisha kijijini kwa babu.

  Hawa jamaa wa bongofleva wanatamani sana kuacha. Ila wanakuambia ile mambo ikishaingia kwenye damu ni vigumu kuacha.

  Mungu awape uwezo wa kuacha. Ameni.
   
 16. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  kwani mkwajuni wote wanakula ngada?TID tu mwenyewe tu kajichanganya!mnyamwezi wangu anapotea kama masihara!inaniuma sana
   
 17. s

  shosti JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kwani huyo TID huo unga kaanza kula leo jamani...au ndo kalowea
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Ngwea hajaanza leo. Tangu akiwa anaishi kinyama pale mtaa wa niger wenyewe wanapaita chemba squad ndo ilikua kazi yao asubuhi mpaka jioni.kipindi hicho nakumbuka alikuwa ngwea,nurah,dark master,wakina mez b walikua nao wanatia timu na vijana wa pale mtaani ambao bado wanaendeleza hadi leo.walivutaga unga saa mbili hadi saa tano asubuhi wakakimbia kwa miguu hadi kwa p.funk kurekodi wimbo wa "getto langu" eti mzuka ulipanda, nlikuwa napenda story zao za kwenda mamtoni.ndoto yake ilikuwa kuishi ulaya. mia
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nasikia toka jk ameishaka nh ngada ilikuwa elfu moja sasa hvi elfu mbili halafu imepanda fasta kweli..

  wala unga wote endeleeni kula unga ili wanaoleta unga nchini wazidi kuwa matajiri na kama wewe una ndugu au jamaa anatumia nyunga muache aendelee.

  naomba na serikali ya jk iruhusu bangi ili mambo yawe safi marijuana ligalization by peter tosh..
   
 20. J

  Judgment Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kbs Ngwea ameona sio mby kubwia kw vl kutamuongoza kwny "Road map" ya kufika juu kimaendeleo kw fani yake km Banza stone alivyofika juu ktk gem! Kutoka Twanga pepeta then Tot hadi kuishia kwenye kundi la Taarabu.
   
Loading...