Unga unamuharibu Albert Mangwea

Unga unamuharibu Albert Mangwea

Kweli mkuu ,vijana wanapenda kuiga na kudanganyana ,wengi wanaongopeana kwamba ukipiga MADUDE ukimkamatia manzi SHOW SHOW na wengine ndiyo kama hivyo kugongea MISUBA bila kujua source yake ndiyo hivyo wanapigwa COCKTAIL.
Kuna mdau kanijibu cmnt yangu,anasema mbn kuna watu wanatumia crystal meth na wako poa 😄
Skumjibu,ila nkacheka tu

Yah hao wakina ngwea wlivamia mambo kwa kuiga
Unyamwezi mwingi tu mwisho wa siku ndiyo hivyo

Sema wabongo kwenye kuambiana ukweli tuna unafki sana

Ova
 
Wengi waliosemwa kwamba wanatumia enzi hizo baadhi washatangulia mbele za haki na wengine wameshaacha.

M.A.P Mak Malick(Simba) , Ngwair ,Langa ,Dogo Mfaume etc

Walioacha Lord IZI(Terror) ,Fanani , Ibra Da Hustler ,Byser etc

Wanaoendelea Simba la masimba Haujui.
Byser wakina dog hmd ndy walikuwa wana mpoteza

Ova
 
Kuna mdau kanijibu cmnt yangu,anasema mbn kuna watu wanatumia crystal meth na wako poa 😄
Skumjibu,ila nkacheka tu

Yah hao wakina ngwea wlivamia mambo kwa kuiga
Unyamwezi mwingi tu mwisho wa siku ndiyo hivyo

Sema wabongo kwenye kuambiana ukweli tuna unafki sana

Ova
Hajui kwamba wewe ni don town kitambo KINO ipo Mabegani mwanzo mwisho mbigwa mbigwa zote unazijua from A to Z ,watu kama hao ni kuwaacha tu ,cystal meth ni hatari akitaka ajue agugo skid row L.A aone ilivyowaathiri ,hiyo kitu inaleta sana stroke kama ulivyosema.
 
Ile ina damage ubongo vibaya mno

Ova
 
Huyo mpk u nda-pu ashafany sn trp za bongolala to madib
Mzk zug tu
Ila kwa ss naona km wame tulia si unajua kuna mkono mrefu ukinasa

Ova
Zile Civilian zilizoandikwa 26 for Life, Papaa Fololo si ndio za kwao??
 
Huyo mpk u nda-pu ashafany sn trp za bongolala to madib
Mzk zug tu
Ila kwa ss naona km wame tulia si unajua kuna mkono mrefu ukinasa

Ova
Hahaha kweli dogo hmd alikuwa Ndapu...mziki ni camouflage tu....na alikuwa anajitapa kwenye nyimbo zake "wanaosniff na kusmoke mimi ndiyo nawacontrol"
 
Hahaha kweli dogo hmd alikuwa Ndapu...mziki ni camouflage tu....na alikuwa anajitapa kwenye nyimbo zake "wanaosniff na kusmoke mimi ndiyo nawacontrol"
Hyo alipewag trip moja huko kwa mchezaji,akapewa begi
Aliburuze arudi nalo bongo mbona aliliacha huko 😄
Mabaharia huko wacha wamlaani 😄
Alishaona ntanasa port 😄

Ova
 
Ila mbona bado blue na nyandu ni marafiki?
"Blazamen yupo club analewa anayumba star nipo site najenga majumba ,ni mwendo wa gucci na prada mpaka wakiniona waseme shikamoo baba" - Byser

Kwasasa ameshasanuka ,akili TIMAMU ,ni family man ule ulikuwa utoto .alishaacha madude.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom