Unga unamuharibu Albert Mangwea

hao wote chamtoto kitu LORD EYEZ na IBRA hawa jamaa ni balaa... yawezekana Mkwajuni ni noma maana Ibra nae alikuwa huko huko mitaa ya Maphere alikuwa anaogea kabisa,...
 
she got gwan..hii kitu nikikumbuka wazeiya napiga saluti kwa mchizi..ngwea namkubari ile kinoma.ila sasa ishu ya dawa hapo ndo tatizo.
 
Msanii wa bongo flava anayejulikana
kwa jina la Albert Mangwair (Ngwair)
ameripotiwa kufariki huko Nchini
Afrika Kusini leo ila chanzo cha kifo
chake bado hakijathibitishwa
 
Back
Top Bottom