Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Kwahiyo ameenda singida kama nani?na ametumia rasilimali fedha za ccm au kodi ya watanzania?Tofautisha mambo ya chama cha Siasa na serikali na pia kumbuka hadi sasa Rais JPM Sio mwenyekiti wa chama kwa hiyo kuingilia maamuzi ya chama ktk kusherekea ni vigumu. Tusubirie wampe uenyekiti then from there we can judge