mndorwe
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 2,472
- 1,028
Hiv makufuli alitoka dar kwenda singida kwa usafir wa chama ?? Acheni uongoBirthday ya CCM ni hela za zchama ila uhuru day ni kodi za wananchi elewa hilo
Hiv makufuli alitoka dar kwenda singida kwa usafir wa chama ?? Acheni uongoBirthday ya CCM ni hela za zchama ila uhuru day ni kodi za wananchi elewa hilo
Ni kweli chuki zinampofusha kwa kiwango cha kushindwa kuona CCM imetimiza miaka mingapi,manake anasema CCM imetimiza miaka 30!Bado ana mawazo ya mwaka 2007.muanzisha uzi, mtendee haki mama yako na baba yako! hawakukuzaa zuzu ila chuki zako ndio zinakupofusha
you mean unasema kuwa chadema, ACT, nccr, tadea, chaumma wakitaka kufanya sherehe zao magufuli aingilie??
sherehe za ccm sio za kitaifa, sherehe ya uhuru ni ya kitaifa
sherehe ya ccm ni ya kichama, ya uhuru ni ya serikali
acha upuuzi
[emoji23] Hatareeee sana[emoji445] [emoji445].....ni ileile eeeh ooh ni ileile eeh
Hata ulichoandika hukijui, gharama za sherehe zile wanaolipa ni chama au serikali? Vyama vipo huru kufanya yale ambayo wanayataka wao ili mradi yasiwe kinyume na sheria za nchi. Ingekuwa ni nchi ya chama kimoja sawa. Hii ni sawa na timu ya Taifa na vilabu. Mfano, timu ikitaka kufanya lolote lile lazima watumie pesa zao. Chukulia mashindano aliyoenda kushiriki Azam mwaka huu huko Zambia, gharama walilipa Taifa Stars? Najua utasema mbona katumia gari za serikali kufika Singida. Jibu ni kwamba rais akiwa Morogoro amehutubia wapiga kura wake, amekagua ujenzi wa daraja pale Kibaigwa na kwingneko ambapo mote humo katoa maagizo kama rais. Lakini gharama za sherehe ni za chama. Usikurupuke kuanzisha thread ilihali tu ionekane upo.Wanabodi
Salaam;
Serikali ya awamu ya 5 inajinasibu kubana matumizi na kufuta baadhi ya sherehe za kitaifa kwa lengo hilo la kuzuia matumizi yasiyo ya lazima.
Kichekesho kimeonekana leo baada ya serikali nzima kuhamia singinda kwenye sherehe za birthday ya ccm ya kutimiza miaka 30.
Huko nyuma tulishuhudia sherehe za uhuru zikipigwa kumbo,sherehe za wabunge zikapigwa ban,baadae tbc nayo ikapigwa ban kwa lengo hilo hilo la kubana matumizi. Cha kushangaza Rais na serikali nzima walikuwa kwenye birthday hiyo ya ccm kwa ajili ya kutoa hotuba za mipasho!!
Kweli hii nchi ngumu sana aisee!
Nani aliyekwambia wanachama wa ccm nao ni wananchi.?Tatizo hizo sherehe zinagaramiwa na pesa za wananchi wote kama ilivyo za siku ya uhuru
Ficha upumbavu wako,mimi sijazungumza mambo ya chadema hapo na hata kama wapo m6 siwachange hizo mia mia basi wasitake ruzuku toka serikalini ili iyo hela ipelekwe sehemu nyingine.Wanachama hai Wa ccm wako mil6 .
Hata wakichanga mia mia tu .
Inakuja massive amount of money.
Chagadema ofc yao kama bafu na wana miaka 20!!!!
Hebu lete uthibitisho kwamba CCM ndio wamegharamia hiyo misafara ya watu wa Serikalikumbuka sherehe za vyama zinagharamikiwa na vyama vyenyewe na aio serikali inayotoa hela. hamna sababu yakuzizuia hoja hii hujafikiri kabla yakuileta tofautisha fedha za serikali na fedha za vyama tofauti kabisa imebwaya hiii thread
Hivi umbumbu au unyumbu tutaacha lini,Magufuli sio mwenyekiti wa CCM na hana mamlaka yoyote ya kuzuia CCM kuadhimisha siku ya kuzaliwa,na CCM haitumia fungu la serikali ,je Magufuli anaweza kuchukua hela ya CCM na akajengea barabara kama alivyofanya kwenye kubana matumizi ya sherehe za Uhuru na kuapishwa kwake?jibu ni hapana.Ni bora watu tuwe na uelewa kuliko kuleta pumba tu hapa JF ili mradi muonekane muna busara za kuikosoa serikali.Wakati mwingine kukaa kimya ni busara.Wanabodi
Salaam;
Serikali ya awamu ya 5 inajinasibu kubana matumizi na kufuta baadhi ya sherehe za kitaifa kwa lengo hilo la kuzuia matumizi yasiyo ya lazima.
Kichekesho kimeonekana leo baada ya serikali nzima kuhamia singinda kwenye sherehe za birthday ya ccm ya kutimiza miaka 30.
Huko nyuma tulishuhudia sherehe za uhuru zikipigwa kumbo,sherehe za wabunge zikapigwa ban,baadae tbc nayo ikapigwa ban kwa lengo hilo hilo la kubana matumizi. Cha kushangaza Rais na serikali nzima walikuwa kwenye birthday hiyo ya ccm kwa ajili ya kutoa hotuba za mipasho!!
Kweli hii nchi ngumu sana aisee!
Kikwete amesisita waliotetea CCM mitandaoni wasisahaulike kwahiyo wanaongeza kasi kuandika ujinga....MTU asie tumia uTUMBO kufikiri hawezi kutetea kitendo hicho cha CCM....Ungejipa muda wa kusoma nilichoandika wala usingetetea hii kitu. Me nimezungumzia serikali yote ilikuwa pale,me najua hujasoma lkn hata hili unashindwa kujua kuwa serikali imetumia kodi zetu?? Unalinganisha waziri mkuu aliyeenda peke yake na hawa walionda wote kwa gharama zetu..???
Kulikuwa na magari ya serekali pale na mdafara wa Rais,maskari wa kutosha ccm ndo imeweka mafuta ya magari ?Hata ulichoandika hukijui, gharama za sherehe zile wanaolipa ni chama au serikali? Vyama vipo huru kufanya yale ambayo wanayataka wao ili mradi yasiwe kinyume na sheria za nchi. Ingekuwa ni nchi ya chama kimoja sawa. Hii ni sawa na timu ya Taifa na vilabu. Mfano, timu ikitaka kufanya lolote lile lazima watumie pesa zao. Chukulia mashindano aliyoenda kushiriki Azam mwaka huu huko Zambia, gharama walilipa Taifa Stars? Najua utasema mbona katumia gari za serikali kufika Singida. Jibu ni kwamba rais akiwa Morogoro amehutubia wapiga kura wake, amekagua ujenzi wa daraja pale Kibaigwa na kwingneko ambapo mote humo katoa maagizo kama rais. Lakini gharama za sherehe ni za chama. Usikurupuke kuanzisha thread ilihali tu ionekane upo.
Acha kukariri hebu lete UthibishoSherehe ya ccm haitumii hela za serikali.
Hakuna fungu lililotengwa na serikali kwa ajili ya birthday ya ccm
Ccm wanatumia hela zao
Acheni kukariri Magufuli amefuta Sherehe za UHURU sababu HAZINA haiukwa na HELA hata yakulipa mishahara so msifanye wote maBWEGEWakati mwingine ni vyema ukafikiri na kutafakari kwa makini kitu unachotaka kuandika kabla kuandika. Rais amefuta sherehe ya Uhuru ambayo ni sherehe ya kitaifa kwa lengo la kubana matumizi ili fedha hizo zilizotengwa kwa ajili ya sherehe ziweze kutumika katika shughuli nyingine za msingi za kujenga Taifa letu.
Lakini hajafuta sherehe za CCM na wala hawezi kuzifuta kwa sababu kwanza sio sherehe za kitaifa, pili fedha zinazotumika kufanya sherehe hizo hazitoki serikalini bali zinatoka kwenye mfuko wa chama na tatu yeye sio kiongozi wa chama hicho hivyo hana mamlaka ya kuzuia sherehe za chama hicho.