Unazuia sherehe za Uhuru, unaadhimisha birthday ya CCM

Unazuia sherehe za Uhuru, unaadhimisha birthday ya CCM

Haushangaliki nikiri kusema ni msamiati mpya kwangu
Hichi ni kiswahili cha miaka ya 90 kuendelea wazee wa zamani ji ngumu sana kuwaelewa vjana wakoongea siku hizi.
Kule mtaa wa pili utasikia Amaizing flani hv
Hatareeeee mshana wazoee tu vijana
 
Kwa hiyo wewe imeona wanaposema kuokoa mamilioni basi ni kutumia magari? Hizi sherehe ni za ccm na suala la gharama ni la ccm wenyewe, gharama hapo zipo kwenye shuguli yenyewe sio magari na hata sherehe za uhuru kufutwa hatukuangalia mafuta ya magari bali gharama kubwa za maandalizi na ujio wa viongozi wa nje, Magari gharama yake ni ndogo sana
Hivi ndogo ni sh ngapi?
Gharama ya mafuta kutoka dar to huko sherehe zilipo kwenda na kurudi si hela je haiwezi fanya lolote? Na hiyo si gari moja unazungumzia viongozi wote wa serikali wanaotakiwa kuendeshwa.hiyo ni hela ndogo?
Za umma zimetumika tusidanganyane .mleta uzi alijaribu kuonesha kuwa pesa za umma zimwtumika kufanya shughuli za ccm sio magufuli akataze sherehe za ccm la hasha.
 
Back
Top Bottom