kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Vipi hayo magari na mafuta yaliyotumika ni ya CCM? Wewe ndio mpuuzi kweli kweli kwani inaonyesha wazi unatetea ujinga kwa kuwa tu unanufaika na kinachofanyika.You mean unasema kuwa chadema, ACT, Nccr, Tadea, Chaumma wakitaka kufanya sherehe zao magufuli aingilie??
Sherehe za CCM sio za kitaifa, sherehe ya uhuru ni ya kitaifa
sherehe ya ccm ni ya kichama, ya uhuru ni ya serikali
acha upuuzi