Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Kwanini gari liwe la serikali kwenda kwenye shughuli za chama cha siasa cha ccm?huoni huo ni ufisadi pia kumbuka hilo gari ni kodi za watanzania wooteUnawezakana gari likawa la serikali lakini gharama za chama...