Unaweza usiamini macho na masikio yako.

Unaweza usiamini macho na masikio yako.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,663
...lakini ndivyo ilivyo.
1511275_478715452238667_1924230941_n.jpg
 
Raisi anamwapisha chizi heh heh
Presida mwambie hilo sio vazi rasmi eti
 
wengine wanachukia jina tu lakn nimeangalia sifa anazo akiacha kendkeza itikadi na akatulia as per shule yake
 
Chadema inabidi mfurahi kama wananchi tulivyofurahi ujio wa bodaboda.
vibaka mtaani wamepungua.tungeshashuhudia mauaji sombetini maana mzigo wa china haukuishia kanisani na soweto.
 
Anamuachia nani Majukumu yake ya kurusha viazi vya mlipuko
 
Off Topic: Huyu jamaa hiyo bendera ya Tanzania shingoni, ni uzalendo au masharti ya mganga wake!! Sijawahi muona akiwa bila ya bendera na jana nimfuatilia sana nicheki kama ataivaa na ameivaa!!
 
Ulimbukeni mwingine ni hatari kwa afya zetu. Sasa na hilo joto la Dar Es Salaam mtu bado anafunika shingo kwa skafu.

Tiba
 
wengine wanachukia jina tu lakn nimeangalia sifa anazo akiacha kendkeza itikadi na akatulia as per shule yake

Ni kweli huyu jamaa ni mchumu. Problem yake ni huo ukereketwa wake tu.
 
Hahahaha Alafu huyu jamaa huwa Ana'Act mzalendo na hako kakitambaa kake shingoni mpaka kwenye Suti!!!
 
Back
Top Bottom