Unaweza usiamini macho na masikio yako.

Unaweza usiamini macho na masikio yako.

Wanasema bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa! Ukweli watanzania tulikosea kuchagua KIkwete Ona sasa utumbo huu, hili chizi Kweli waziri wa fedha na kushinda mitandaoni anatukana CDMkujibishana na watoto!! KIkwete kwanini unatufanyia hivi kwenye nchi yetu?! Wazungu wanasema the end justify the means ukweli Ndio tumeuona!! Pole Tanzania
 
...staili za kuiba zipo nyingi sana,hilo linaitwa changa la macho a.k.a wizi wa gia ya kizalendo...
 
Sometimes kuishi katika hii nchi inabidi ujifanye haujali maana unaweza ukafa kwa ugonjwa wa moyo.
 
Eee mungu ilaze tanzania mahali pema..............
 
Sometimes kuishi katika hii nchi inabidi ujifanye haujali maana unaweza ukafa kwa ugonjwa wa moyo.
binafsi tangu waziz savimbi atangazwe nimekosa kabisa morali wa kazi,inauma kuja jasho then wachache wanaigawa nchi kama fadhila kwa wafia chama.
 
ngoja tujiendee endee tu labda tutafika tunakokwenda
 
Awamu hii ya baba riz,ikulu imekaribisha,bongo movie,kina baba joni,mateja na sasa wamemwapisha kichaa tulomzoea
 
Back
Top Bottom