Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

gfsonwin nimekataa cuz hujanipatia nilivyo...avatar imeku-mislead
Yaani hizo ulizosema ni sifa za 'SnowBall' lakini in 'reality' imekuwa kama maji na mafuta...
hebu msadifu na Nicas Mtei tuone kama utapatia....

Amenisadifu tukiwa chemba. Sitaki aandike humu. Twajuana fizikal so usadifu utakuwa batili
 
Last edited by a moderator:
Umesema yote Nivea ...but unawezaje kumuumba Willy Gamba wa kwako peke yako out of so many wily gambas...???
yeah i have my own Willy Gamba and i think others tooo who have tried to imagine how Willy is they have their own Willy in their heads.
 
Wanabodi habari za weekend??

Nakubali ndio MAPENZI ni 'phenomenon' ya ajabu...Mapenzi bana wanasema yanakujaga tu kama mvua...Na wengine wanasema ukipenda waweza kuwa kipofu..nyekundu ukaiona samawati na njano ukaiona kijani...Lakini pamoja na kizungumkuti kinachohusu mapenzi hivi katika hali ya kawaida..'WAWEZA MPENDA MTU KWA KUANGALIA AVATOR YAKE TU???............... Hebu ndugu zangu Eiyer, Nivea , Mr Rocky , Kaunga , Blaine , HorsePower, walimu wangu snowhite na gfsonwin , Mtambuzi , Jipu , saudari , Blue G, Kamanda Kazi, Yegoo na wengineo wengi nisaidieni hapa.....
Ni kweli unaweza ukampenda Mtu bila kumuona wala kumjua, hii inatokana na immagination uliyonayo kwake. mwingine unaweza ukampenda kwa maandishi yake , jinsi gani yanakugusa, na mwingine kwa sauti yake.Kwa hiyo inategemea na wewe mwenyewe nn weakness yako katika kupenda.
 
Ha ha ha ha ha, nimecheka sana

Nataka kunyonya? Ila kweli boobs ni moja ya eneo la utalii nipendalo lol

baadhi ya avatar huwa zinazungumza sana tu haihitaj akil ya darasani ili kujua kama muhusika anasadifu avatar yake kwa baadhi ya watu.
mfano: huthitaj hata akili ya darasani kujua kwamba akili ya Kongosho iko mbele kama mshale na kwamba hajui kumwogopa mtu na ndio maana hata njian yeye anataka kunyonya.

angalia avatar ya King'asti alivyo tu unajua huyu ni mtu wa kazi kwake hakuna masihara na ukicheza anaweza kukuchapa mkono.
angalia avatar ya FP alivyo unapata picha kabisa ni mtu decent na asiyependa makuu.
angalia avatar ya Madame B yaani inaonyesha kabisa na yeye yuko hivyo wale wa jukwaa lile watanielewa(joke)
angalia avatar ya Mtambuzi imekaa kipaparazzi sana na ndivyo alivyo.

hawa ni wachache tu ambao nimejaribu kuonyesha avatar zao zinavyowasadifu.

mtu kama Kiranga yaani utajua tu ni complicator.
 
Lisa mwanzoni nimekusoma vyema tu..ila ulipokuja hapo kwenye 'weakness'..lolz
Hivi kupenda ni 'udhaifu'????

....inategemea na wewe mwenyewe nn weakness yako katika kupenda.
 
Last edited by a moderator:
Kupenda kuna kazi...siku moja tutakutana na mavampire :nono:
 
Lisa mwanzoni nimekusoma vyema tu..ila ulipokuja hapo kwenye 'weakness'..lolz
Hivi kupenda ni 'udhaifu'????
Yap! nilikuwa nina maana hii, kuwa kila mtu ana mapungufu yake katika kupenda, unaweza kuta mtu amempenda tu kwa sababu ya mwanya, au kucheka, wewe huoni hilo ni pungufu? haangalii yule mtu ana faida gani katika maisha yake, au atamsaidia vipi kiakili na kimali, je wataweza kutengeneza familia iliyo bora? hayo maswali hajiulizi yeye anakwenda tu eti ni mtanashati, akivaa nguo zinamkaa vizuri, hangalii hata tabia yake, sasa watakapo kaa kwa muda na kuzoeana, ndipo purukushani zinaanza na lawama. Majuto mjukuu na ndipo unasoma Thread nyingi humu NIMEMCHOKA MKE WANGU" Lakini angempende , na kumchunguza na kuangalia hayo , asingemchoka.
 
Kuna watu humu wameweka avatar za sura halisi za wenzao, kwa mfano yangu ametumia mtu mmoja humu ndani bila kujua, basi mademu wanaipendaje...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom