Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

It's like this SnowBall binadamu tumeumbwa tukiwa na uwezo wa kujenga picha akilini na kuumba kitu akilini eiza kutokana na sauti,picha au masimulizi,kwa hiyo wapo ambao huweza kusikia sauti na kujenga picha akilini kuwa huenda huyu mtu akawa wa namna fulani na tabia fulani,na wengine huweza kusimuliwa habari kumhusu mtu fulani na kuweza kupata picha kuwa huenda mtu huyo ni wa namna fulani.Na kupitia hiyo picha aliyoijenga akilini mwake hujikuta akiwa na hisia za upendo kumwelekea mtu wake aliyemuunda kichwani mwake.

Kwa hiyo kwa ufupi kwa upande wangu mimi inawezekana sana tu kumpenda mtu pasi kumwona.

Kwa mfano mi ni mpenzi wa riwaya za A.E MUSIBA ambapo mhusika mkuu anyetumiwa na mwandishi huyo ni Willy Gamba,kutokanana masimulizi yake kumhusu willy nilipokuwa nasoma hadithi zake tayari nilikuwa namjua WIlly wangu yukoje kichwani mwangu niliijua sauti yake na tabia yake ambayo nilikuwa nimeiunda kichwani mwangu na hilo lilinifanya nikawa mpenzi mkubwa sana wa mtu dhahania wa kwenye riwaya WILLY GAMBA,nilimpenda sana kiasi kwamba hata nilipokuwa nawasimulia wenzangu niliwasimulia kwa msisimko kama vile nilishawahi kumwoan huyo mtu.Na mpaka leo hii ninaye Willy wangu kichwani na sikuzote nitaendela kumpenda na ndio maana hadithi za A.E MUSIBA hazinichoshi.

Mtu pia aweza kukupenda kwa kuona avatar yako ndiyo,na hii ni bada ya hatua ya kwanza ya kuvutiwa na avatar yako na kisha kwa kutumia hiyohiyo avatar yako mtu akajenga picha kicwani kuwa kutokana na hii avatr huenda huyu mtu atakuwa wa namna hii na atakuwa ana tabia fulani na hivyo kujikuta anajenga hisia za upendo kukuelekea.
 
Last edited by a moderator:
Aaah wapi! Telepathy inakuwepo. Lakini si ya kupenda. Unataka kuniambiaje kuhusu avatar yangu ama yako kwa mfano?

Mimi bwana sihukumu kitabu kwa cover yake. Nataka kusoma mwanzo mwisho. Na nategemea surprises kwa kila mtu including myself. Niko careful kuhusu 'kupenda'. Naweza kukufahamu mwaka mzima na nisikupende japo nitakuwa nakumiss kama kampani yako iko poa. Na nikipenda utajuuta kama ulikuwa unabip hehehe!

ahahahaahahahhah we mtoto wewe!AHAHAHHAHAHA mbavu zangu mie!
 
Unajua nini Preta watu wengi nadhani hatuko siriaz...
Sikatai unaweza kumpenda mtu kwa hisia but kwa avatar bado naona ngumu..
Kama unavyosema ..kuna watu wa kila namna humu..hivyo ukiingia kichwa kichwa utaliwa..
Na mie nadhani malalamiko mengi ni kwa sababu watu hawapati muda wa kufahamiana..wanakuwa aroused na avatars...please guys have time by having a thorough observation on your expected partner..usiache avatars zikufanyie kazi..nenda mwenyewe field....

Unajua watu hudhani kuwa......maisha ya JF ndio maisha halisi ya mtu.....humu tuna majambazi.....wachawi.....mabazazi......na kila aina.....sasa niambie ndo umefall kwenye avatar ya Preta.....kumbe mchawi.......imefika muda wake wa kutoa mgao huko uchawini......hana.......bahati nzuri ndo ushajipendekeza......hujatolewa kafara mkuu.....? think....
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo we saudari hapo umemlenga nani labda mwenye avatar yenye matatizo?
Kwangu mimi humpenda mtu kutokana na "comment zake" anazotoa, kama mtu hutoa comment nzuri na zenye kupendeza "why not" kumlike?

Unakuta mtu anatoa ushauri mzuri ila ukiangalia avatar yake ni full matatizo.

Ndo maana naamini alivyosema watu8 yakwamba "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU".

Last edited by a moderator:
SnowBall hata wewe nikiangalia avatar yake naweza for at least 40% kukuelezea, na nikapatia vizuri, ila hapa nazungumzia zile dorminant characteristics (kapitie topic ya genetics ya biology)
 
Last edited by a moderator:
avatar na miandiko inasema mambo mengi sana kutuhusu!
lakini sio guaranteed kuwa snowhite huyu wa nyuma ya keyboard ndiyo yule sweeet nanihino kwa mumewe.................au mama...........kwa watoto wake,au .......................kwa rafiki zake au madame.......................kwa wanafunzi wake!
 
Umesema yote Nivea ...but unawezaje kumuumba Willy Gamba wa kwako peke yako out of so many wily gambas...???

It's like this SnowBall binadamu tumeumbwa tukiwa na uwezo wa kujenga picha akilini na kuumba kitu akilini eiza kutokana na sauti,picha au masimulizi,kwa hiyo wapo ambao huweza kusikia sauti na kujenga picha akilini kuwa huenda huyu mtu akawa wa namna fulani na tabia fulani,na wengine huweza kusimuliwa habari kumhusu mtu fulani na kuweza kupata picha kuwa huenda mtu huyo ni wa namna fulani.Na kupitia hiyo picha aliyoijenga akilini mwake hujikuta akiwa na hisia za upendo kumwelekea mtu wake aliyemuunda kichwani mwake.

Kwa hiyo kwa ufupi kwa upande wangu mimi inawezekana sana tu kumpenda mtu pasi kumwona.

Kwa mfano mi ni mpenzi wa riwaya za A.E MUSIBA ambapo mhusika mkuu anyetumiwa na mwandishi huyo ni Willy Gamba,kutokanana masimulizi yake kumhusu willy nilipokuwa nasoma hadithi zake tayari nilikuwa namjua WIlly wangu yukoje kichwani mwangu niliijua sauti yake na tabia yake ambayo nilikuwa nimeiunda kichwani mwangu na hilo lilinifanya nikawa mpenzi mkubwa sana wa mtu dhahania wa kwenye riwaya WILLY GAMBA,nilimpenda sana kiasi kwamba hata nilipokuwa nawasimulia wenzangu niliwasimulia kwa msisimko kama vile nilishawahi kumwoan huyo mtu.Na mpaka leo hii ninaye Willy wangu kichwani na sikuzote nitaendela kumpenda na ndio maana hadithi za A.E MUSIBA hazinichoshi.

Mtu pia aweza kukupenda kwa kuona avatar yako ndiyo,na hii ni bada ya hatua ya kwanza ya kuvutiwa na avatar yako na kisha kwa kutumia hiyohiyo avatar yako mtu akajenga picha kicwani kuwa kutokana na hii avatr huenda huyu mtu atakuwa wa namna hii na atakuwa ana tabia fulani na hivyo kujikuta anajenga hisia za upendo kukuelekea.
 
Last edited by a moderator:
King'asti nikisoma maandishi yako bado naona kuwa kwako wewe neno kupenda ni issue ya 'muda'...it means uwe na mtu kwa muda mrefu then ndo umjue kama anapendeka...wasiwasi wangu unakuwaga kwa wale ambao akiona avatar tu tayari udenda unamtoka...hivi hawa kiukweli wanakuwa 'wanapenda' au ni 'illusions' tu????

Aaah wapi! Telepathy inakuwepo. Lakini si ya kupenda. Unataka kuniambiaje kuhusu avatar yangu ama yako kwa mfano?

Mimi bwana sihukumu kitabu kwa cover yake. Nataka kusoma mwanzo mwisho. Na nategemea surprises kwa kila mtu including myself. Niko careful kuhusu 'kupenda'. Naweza kukufahamu mwaka mzima na nisikupende japo nitakuwa nakumiss kama kampani yako iko poa. Na nikipenda utajuuta kama ulikuwa unabip hehehe!
 
Last edited by a moderator:
Nimekupenda kwa kuangalia avatar yako..lolz
Would you marry me???

avatar na miandiko inasema mambo mengi sana kutuhusu!
lakini sio guaranteed kuwa snowhite huyu wa nyuma ya keyboard ndiyo yule sweeet nanihino kwa mumewe.................au mama...........kwa watoto wake,au .......................kwa rafiki zake au madame.......................kwa wanafunzi wake!
 
saudari ....unaweza mpenda mtu kwa sababu ya mwandiko wake????
Na hivi kuna mfanano kati ya avatar na 'maandishi' ya mhusika???

Kwangu mimi humpenda mtu kutokana na "comment zake" anazotoa, kama mtu hutoa comment nzuri na zenye kupendeza "why not" kumlike?

Unakuta mtu anatoa ushauri mzuri ila ukiangalia avatar yake ni full matatizo.

Ndo maana naamini alivyosema watu8 yakwamba "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU".
 
Last edited by a moderator:
...'WAWEZA MPENDA MTU KWA KUANGALIA AVATOR YAKE TU???....
nimeipenda hii avatar
gfsonwin arroww.jpg
personally the opinion of ppl na style yao ya maandishi inanivutia zaidi ya avatar zao and to an extent napenda kuwaona in-real-life bcoz napendezwa na "inner beauty" zao
 
saudari ....unaweza mpenda mtu kwa sababu ya mwandiko wake????
Na hivi kuna mfanano kati ya avatar na 'maandishi' ya mhusika???

MNO!
we angalia tu utagundua kitu!
pacha hii mada yako umeibana ujue!hebu ipe mawanda mapana zaid ya mapenzi!
jaribu bana we una maakili mengi sana bana!(avatar hiyo na mwandiko wako vinaniambia hivo)
 
Kwa hiyo we saudari hapo umemlenga nani labda mwenye avatar yenye matatizo?

Hebu angalia comment anazotoa King'asti, Nivea, @lara1 halafu linganisha na avatari zao?

Kama utakuwa unampenda mtu kutokana na avatar yake, itakuwaje kwa wabadilisha avatar kama Nicas Mtei, @ blaine na Blue G. Lazima utageuka pendapenda.
 
Last edited by a moderator:
Zion Daughter sio siri umenipa task ya kuumiza kichwa ili nichangie 'mipwenti'...si umesema 'michango' ya mtu nayo inampa credit?...hakyamama sasaivi ntakuwa siongei upuuzi..full mipwenti... snowhite umesikia????

Mara nyingi maneno humwelezea mtu yupoje japo kujifekisha ni rahisi..Kupitia michango mbali mbali unaweza kuvutiwa na mtu na hatimaye upendo ukazaliwa at a later stage.
 
Last edited by a moderator:
Na mimi nikajua mwenzangu ni mwenyeji hapo..
Nijibu basi.....

ahahahahhahhahahaha kwa hiyo upacha tunaacha sasa?
sijui mshenga atapeleka wapi barua!
af wewe hebu acha kuchakachua thread yako au ndo athari za avatar hizo!aahhahahahha mfano hai kabisa huu!
ghafla naposwa huuku kwa ajili ya avatar!
nimelimiss pama ujue!
 
Wanabodi habari za weekend??

Nakubali ndio MAPENZI ni 'phenomenon' ya ajabu...Mapenzi bana wanasema yanakujaga tu kama mvua...Na wengine wanasema ukipenda waweza kuwa kipofu..nyekundu ukaiona samawati na njano ukaiona kijani...Lakini pamoja na kizungumkuti kinachohusu mapenzi hivi katika hali ya kawaida..'WAWEZA MPENDA MTU KWA KUANGALIA AVATOR YAKE TU???............... Hebu ndugu zangu Eiyer, Nivea , Mr Rocky , Kaunga , Blaine , HorsePower, walimu wangu snowhite na gfsonwin , Mtambuzi , Jipu , saudari , Blue G, Kamanda Kazi, Yegoo na wengineo wengi nisaidieni hapa.....

SnowBall, mimi niungane na Mwl gfsonwin kuwa mtu anaweza kutamani kwa kupitia avatar ya mtu na si kupenda. Kupenda huja baada ya kuonana na mtu physically. Kama itatokea mtu kapenda kupitia avatar na bahati mbaya hiyo avatar haijabeba uhalisia wa mtu aliyependwa, basi ni ukweli usiopingika kuwa siku wakionana ndo itakuwa mwanzo na mwisho wa mahusiano yao ya kimapenzi na baada ya hapo itakuwa ni kukimbiana tu!

Nikupe mfano halisi, ukiweke picha ya mjusi, je mtu anaweza kukupenda kupitia avatar hiyo? Lakini jaribu kuweka avatar yenye mvuto labda wa mdada au mkaka aliyependeza halafu ona matokeo yake yatakavyokuwa. Hili pia nimeliona sana hata kule fb ambako watu huumizana sana kwa kurushiana picha nzuri na kuvutiana na kufikia hatua hata ya kuwa wachumba, ila siku wanayokutana ndo na siku wanayobwagana!

Moyo umeumbwa kupenda kupitia macho kuona na ndiyo maana baadhi ya watu kwa kuona avatar tu hata kama wanajuwa ukweli avatar karibu zote si halisi, basi hujikuta wanaangukia kumzimikia mtu. tabia hii ninaiita ni uvivu wa kufikiri na ni vyema kuwa makini na kuepuka kuiweka mioyo yetu rehani kirahisi namna hii au ktk hatari ya kujeruhiwa kimahusiano.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom