gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
We wakijua. Nkisema hapa watu watasumbua
just tell me bana chemba lkn
We wakijua. Nkisema hapa watu watasumbua
just tell me bana chemba lkn
Hahahahahahaha
mwl hapo kwa Kiranga umenimechekesha sanaaaaa! Me huyu nimekuwa niki mjudge kupitia comments(sorry off- topic kidogo)
haya bana sina komenti zaid.
btw naomba usome pm yangu kwako.
haya masifa ya kujirudia rudia haya...... sijui kichwa ntakibebaje!yap am sure.
kumbuka kwamba nilisema baadhi yao. and to me kuna avatar ambazo zina potray uhusika halisi wa mwenye nayo mfano Kongosho avatar yake inaonyesha tu kwamba huyu akili zake ziko resi na haziogopi kitu, angalia avatar ya King'asti inaonyesha wazi kwamba hili ni jembe na kwamba anasimama hata nafasi ya watu 5 mtu akizubaa.
tizama ya FP inaonyesha ni mtu decent sana na ndivyo alivyo. angalia ya pacha wako snowhite inaonyesha ni mtu anayependa sana kufanya nyumba kuwa nyumbani. hata ya Madame B inaonyesha jinsi alivyo mtundu
haya masifa ya kujirudia rudia haya...... sijui kichwa ntakibebaje!
asante sana rafiki yangu gfsonwin kwa hayo masifa, I am humbled!
Naogopa hata sijui nianzaje kumwaga masifa yako hapa, lol!
naamini wadada wengi sana tunatamani sana kuwa wewe........ kila mtu anaweza kujazia mengine kwa kadiri Mungu atakavyowajalia....
Unapendwa sana my dear
haya masifa ya kujirudia rudia haya...... sijui kichwa ntakibebaje!
asante sana rafiki yangu gfsonwin kwa hayo masifa, I am humbled!
Naogopa hata sijui nianzaje kumwaga masifa yako hapa, lol!
naamini wadada wengi sana tunatamani sana kuwa wewe........ kila mtu anaweza kujazia mengine kwa kadiri Mungu atakavyowajalia....
Unapendwa sana my dear
Ningesikitika sana usingenimiss, lol!Napenda avatar yako.. ndo ulivyo ee? Teh teh. Umemisiwa nami
ha haaa, I hope watapita hapa kusoma haya masifa, lol!jamani ndivyo ulivyo ma dearest wala io kamba ni ujiko huo,
unapendeka sana na avatar yako inakuonyesha jinsi ulivyo.
tizama avatar ya Kaunga ama ya mwaJ yaani Kaunga ni mama wa sala muda wote na usoni pamoja na kilemba ndo kawa ivyo vyo, mwaj yeye ni mtu wa tabasamu muda wote hadi juzi nilimwambia hivi uajua kununa wewe?? manake 24/7 anatabasamua mdomoni lolz!
Ningesikitika sana usingenimiss, lol!
Hiyo avatar karibu naanza kuilipisha, mdogo wangu kahamia uchagani atanisaidia kupanga bei maana kule kweli mambo ya biashara yametupita pembeni.......
Umesalimika lakini shem?
Umemisiwa pia
some people wanajenga fake personality kwenye forum na kusema ABCD wakati moyoni mwao ni WXYZ. occasionally hawa watu 'hukosea' na ku-comment their real nature na kama uko makini utawatambua. atleast ndio nilivyoelewa posti ya AshaDii 🙂 .AshaDii umeongea mambo mazito saaana...ni kweli kama kuna watu wamekusoma ulivyotaka usomeke basi watakuwa wameshiba kwa nasaha zako...Hapo nilipobold ndipo nimeshindwa kukusoma katikati ya mistari..please kama hutajali hebu rudia kwa faida ya mimi mdogo wako na wengine ambao wangependa wafaidike na nasaha zako.....
ha haaa, I hope watapita hapa kusoma haya masifa, lol!
Tunakupenda sana mdada
yaani nakuambia kwa sasa mdogo wangu snowhite tumeshamshindwa kabisa.....Nsipoku miss wewe nta m miss nan? Tukianza kuilipisha tutapata hela. Halafu mdogo wako ndo keshakuwa mchaga tayari.. Mi nimesalimika kabisa.
Yap, ndio unaweza mpenda mtu kwa conversation zake tu bila kumwona, kama mie navompenda mtu fudenge humu........lol
Asante sana madamenami nawapendeni ninyi nyote.
mwaaaaaaaaaaaaah!
Wanabodi habari za weekend??
Nakubali ndio MAPENZI ni 'phenomenon' ya ajabu...Mapenzi bana wanasema yanakujaga tu kama mvua...Na wengine wanasema ukipenda waweza kuwa kipofu..nyekundu ukaiona samawati na njano ukaiona kijani...Lakini pamoja na kizungumkuti kinachohusu mapenzi hivi katika hali ya kawaida..'WAWEZA MPENDA MTU KWA KUANGALIA AVATOR YAKE TU???............... Hebu ndugu zangu Eiyer, Nivea , Mr Rocky , Kaunga , Blaine , HorsePower, walimu wangu snowhite na gfsonwin , Mtambuzi , Jipu , saudari , Blue G, Kamanda Kazi, Yegoo na wengineo wengi nisaidieni hapa.....