Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

Kwa wanawake mapenzi sio lazima akuone ila akusikie,yaani mwanamke akikupa fursa ya kukusikiliza tuu,unaweza ukampata b4 hata hamjakutana!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kweli mkuu... Ila mtu anayetamanisha anastand chance kubwa zaidi ya kupendwa, kuliko asiyetamanisha...

Ni kitu complex sana ndiyo maana nilisema sijui wengine wanasemaje kuhusu hili na wanatafsiri vipi hayo maneno mawili .... Wengine miaka yote wanatamani tu hawapendi na wengine nafikiri huwa wanatamani na kupenda pia!
 
Hizi avator mbili zinanifanya nivutiwe na hawa watu, kwa sababu nahisi kwamba hawa wamebobea kwenye maadili mazuri ya mwanamke wa kitanzania na kiafrica kwa ujumla.

avatar32630_4.gif
avatar39766_9.gif

Nakubaliana na wewe... Hata mimi nazipenda ana hizi avatars... Hata Kongosho na Kaunga wanatambua hilo. Very good quality paintings.
 
Preta mamito, unadhani.
Ndio maana utakuta siku hizi mtu flani akoment uzi wa flani wakati zamani alikuwa mstari wa mbele.
Washabambana engo hao.
Ila Dah!
Kupenda throuph Avatar!
Na Avatar ya Ritz jee!

hii ipo sana humu ndani........ila watu wapunguze kujishaua........unakuta mtu kelele mingi kumbe kapuku......
btw......mambo vipi.....pasaka hiyo hapo ujue.........
 
Nafurah kuona kuwa ubongo wangu haujakosea kabisa kukuweka wewe katika kundi la NINAOWAPENDA.. Huwa natumia Ubongo kufanya maamuzi.. Kazi ya moyo ni kusukuma damu tu.

Ha ha ha! Umenifurahisha kuhusu bongo na damu... I am humbled Nic.
 
Ni kitu complex sana ndiyo maana nilisema sijui wengine wanasemaje kuhusu hili na wanatafsiri vipi hayo maneno mawili .... Wengine miaka yote wanatamani tu hawapendi na wengine nafikiri huwa wanatamani na kupenda pia!

Unajua kwa mfano ukienda kukutana na watu wapya, kwa mfano kwenye seminar, wakati wa break utapenda kustorisha na mtu aliyekuvutia, na kuvutia inaweza kuwa kwa kumtamani... then hapo ni rahisi mkajenga network na baadae ukampenda...
 
Ruttashobolwa umeongea vitu vya muhimu sana mkuu..sio siri sisi binadamu ni 'complex creature'...kuna wengine kupitia avatar hawataki kufahamika na kuna wengine kupitia avatar wanataka wajulikane..kaazi kweli kweli....


Si kila avatar anayo weka mtu inamuwakilisha, binadamu tuko complex sana hasa inapokuja kumsoma mtu, kuna mwingine anaweka avatar fulan ili msiweze kumfahamu vyema na ndio maana watu wano pendana kwa avatar wanaweza kukimbiana kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mchajikobe umenipa idea mpya..una maana mwanamke sauti tu yamtosha??....hebu snowhite na Madame B nisaidieni hapa...halafu kuna mtu aitwa neggirl yuko wapi lakini huyu???......

Kwa wanawake mapenzi sio lazima akuone ila akusikie,yaani mwanamke akikupa fursa ya kukusikiliza tuu,unaweza ukampata b4 hata hamjakutana!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
AshaDii am waiting for you...ntarudi kuona mchango wako baada yakuwa umepitia posts zingine....

Sijasoma post zote za thread... Nataka nizisome baadae for naona kama wengi wamechangia ya msingi hivyo waweza kuta kuna mtu kaligusia kwa upana zaidi.

Hapa nilikuwa na maana hii... Tupo mtandaoni... Na mtandaoni kwa wengi ambao ni wenyeji wa kutumia mitandao wana nafasi kubwa sana ya kuchagua namna ipi wasomeke na members. Sometimes people are not who they say they are. Na hivyo yastahili members kuwa makini.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mchajikobe umenipa idea mpya..una maana mwanamke sauti tu yamtosha??....hebu snowhite na Madame B nisaidieni hapa...halafu kuna mtu aitwa neggirl yuko wapi lakini huyu???......

ambacho sikielewi kuhus akili ya kiumbe anaitwa mwanamke!
sisi ni watu tunanusa sana akili za watu halafu ni watu tunaojidanganya sana na akili za watu!
kuna study inabidi ifanyike hapa!
rejea uzi wa Mtambuzi kuhusu wanawake na telepathy kisha fananisha katika uhalisia wanawake wanavolia kuumizwa katika jamii sio mapenzini tu!wanawake ndo wanaongozwa kutapeliwa,wanawake ndo wanaongozwa kuamini wasioaminika!ah sijui imekaaje hii!
so kusema kuwa kwa wanawake sauti tu yatosha inaweza ikawa ni kweli though huwa tunajua wazi hii yaweza isiwe halisi!aha mi wakati mwingine haiba ya akili ya kike siielewi!
 
Last edited by a moderator:
King'asti hapo nilipobold umenifanya nicheke kwa sauti....kwiiii kwiiii kwiiii

Aaah wapi! Telepathy inakuwepo. Lakini si ya kupenda. Unataka kuniambiaje kuhusu avatar yangu ama yako kwa mfano?

Mimi bwana sihukumu kitabu kwa cover yake. Nataka kusoma mwanzo mwisho. Na nategemea surprises kwa kila mtu including myself. Niko careful kuhusu 'kupenda'. Naweza kukufahamu mwaka mzima na nisikupende japo nitakuwa nakumiss kama kampani yako iko poa. Na nikipenda utajuuta kama ulikuwa unabip hehehe!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom