haya leo niko poa ngoja nianze kudondoka ma point ya old schoolmate
SnowBall.
huwa binafsi nakulandisha na mtu ambaye kwanza yuko makini sana kumskiliza mtu na hili avatar zako zote mbili zime potray, pili u mtu mstaarabu sana kwamba huwa si mwepesi wa kukasirika ingawa huwa unaweza kuchukia jambo. Lakini pia wewe ni mtu usiyependa kumuumiza mtu as hata kama mtu anakosea huwez ukamkaripia ingawa utamsemesha kwa lugha ya kubembeleza sana.
unlike mtu kama mimi ambaye ukikosea nakupa makavu live.
kasoro kubwa kwako ni hii kwa kuwa u mwoga wa kumuumiza mtu basi unaweza kujikuta kwenye kundi la kuwa na marafiki wengi sana wa kike na tena wote waka pozi kama wapenzi kwako ilihali wewe hutak lkn kuwaambia unaogopa utawaumiza.
pia huwa ukishachukia umechukia kurudisha moyo wako nyuma ni ngumu sana. ingawa huwa uko very considerate.
Disclaimers: This is according to my own judgement and it shall not be taken for any reference outside this thread.