Yegoo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2012
- 1,434
- 510
Avatar inaweza onekana ni picha tu... Lakini si kweli.. Inawakilisha personality ya mtu. Na hiyo personality huwa mwenye avatar anachagua kuwa anataka awe natural ama fake.
Mara nyingi kwa mchangiaji ambaye ni hodari sana, kama ile personality kajenga ni fake (unakuta once in a while kwa wale makini kuwasoma watu) humsoma true colors. HASA ambao hujenga personalities za kujisafisha asivyo... Mfano mtu ambaye anapenda sana ngono (kujifanya hapendi); ama mtu ambaye anakumbatia sana ushoga (kujifanya hakumbatii); ama mtu ambaye ni muongo sana (kujifanya ni mkweli na kuaminika).
Uzuri huja kwa mtu ambae yupo natural... Tutolee mfano The Boss... Hatoi maoni kujisafisha au kuonekana ni mzuri. Maoni yake siku zote mara nyingi sana hutoa yale ambayo yapo kichwani kwake kwa masuala yoyote yale iwe mahusiano ama nje ya mahusiano.
Mwisho wa siku unapata traits kama vile The Boss ni Muislam (sababu ikiwa Ramadhani you see the change in him), The Boss ni typical African man(Tokana na misimamo yake juu ya mahusiano upande wa wanaume) , The Boss ana sifa za Uanaume na si za Kivulana (Tokana na kuelewa majukumu yake kama mwanaume kwa kujiuliza mara mbili mbili kama anaweza mwambia afanye maarifa), The Boss ni Charming (kwa kufurahia kila member bila kujalisha ni mgeni); na mengine meeengi....
Huo ni mfano tu... So ikitokea member anapenda traits za such a person awe M/ke ama M/me mwenzie, inatokea tu kuwa atampenda na kumkubali.
Zion Daughter na saudari... Pamoja saana. Mie penda sana nyie pia.
hizi avatar zinatufanyaga wengine tugande humu siku nzima, kama ya yule
Mkuu SnowBall ni jambo ambalo ni gumu kulitolea maamuzi! Kwani watu wanapenda na wanazidi kupenda! Kwa upande wangu ni jambo haliniingia akilini kupenda Avatar!,navutiwa na Avatar ila ci mwenye Avatar kwani ci yeye asilimia kubwa!!
namm unipgie bhana mbna twatengana
Sio avatar???
Labda mkuu mpendwa SnowBall nikuulize,unazungumzia mapenzi au upendo?
'
Ukisha nijibu hapa nitakuambia mtazamo wangu kwenye jambo hili!
Kimsingi SnowBall kuna kanuni ya kila jambo,mapenzi nayo ni mahusiano yenye kanuni
'
Unaweza kuvutiwa na mtu kwa sauti au kujibidisha katika majukumu yake n.k,katika mahusiano ya kimapenzi mtu anaweza kuvutiwa na mtu kimapenzi bila kumuona lakini uimara wa mapenzi hayo ni suala lingine na gumu zaidi
'
Kama unataka mahusiano imara na yatakayodumu huna budi kufuata kanuni ya upendo
'
Kama ni yale ya miezi sita kisha kila mtu anafuata maisha yake sawa tu,unaiona michango ya Eiyer hapa Jf halafu unamtamani unataka akugegede kisha kila mmoja achukue hamsini zake sawa,lakini kama unataka ndoa u have to do better than that!
Haa haa i am so humbled Ashadii
ni kwamba umeni miss au? lol
[MENTION]Eiyer [/MENTION]Ideally, nilikuwa najaribu tu kuuliza kama 'nje' ya physical appearances zetu kama kuna mambo ambayo yanaweza 'kutueleza' vyama na avatar zikwemo jinsi tulivyo kiasi cha ku-arouse inner feelings za watu wengine....Sustinability ya mapenzi ni jambo jengine na nadhani lina misingi mipana. Na nakubali pia msingi mbovu hujenga mwisho mbovu...Labda tu niseme jambo nililotaka kulijenga hapa ni lile la ni 'kwa namna gani maandishi na avatars zetu zinaweza kutuelezea kiasi cha kuwatamaisha wengine kutaka kutuona'................
aaaaaah! amesema ni mfano tu na wewe!!
Ni mfano but huwezi jua..msubiri atajibu mwenyewe lol
waache......wasije kujilaumu lakini......ila mimi napenda mwandiko wako ujue.......