Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,132
Vyote ruttaHapa tunazungumzia kumpenda mtu kupitia avatar si telepathy
Vyote ruttaHapa tunazungumzia kumpenda mtu kupitia avatar si telepathy
yaani nakuambia kwa sasa mdogo wangu snowhite tumeshamshindwa kabisa.....
kahamia uchagani jumla.....
element ya kingoni iliyobaki kwake ni ya uteja tu.....
ila anaijua hela si mchezo.......
jamani ndivyo ulivyo ma dearest wala io kamba ni ujiko huo,
unapendeka sana na avatar yako inakuonyesha jinsi ulivyo.
tizama avatar ya Kaunga ama ya mwaJ yaani Kaunga ni mama wa sala muda wote na usoni pamoja na kilemba ndo kawa ivyo vyo, mwaj yeye ni mtu wa tabasamu muda wote hadi juzi nilimwambia hivi uajua kununa wewe?? manake 24/7 anatabasamua mdomoni lolz!
Mimi nakuzimikia sana Preta sijui nitakupataje? Yaani kila nikiangalia avatar yako napata msisimko wa hali ya juu, sijui nikuje huko Yaeda chiniKuna watu huwa wanapenda avatar........watakuja kunyonywa damu siku moja......ndio watajua....
Lol! Mdogo wangu wewe umepinda! ha ha ha! Sauti zimefanyeje hapa? BTW umemissiwa.
Wewe bhana aah, ukiwa kapuku hutakiwi kuwa mnyonge bhana. Mtu lazima ujishaue tu, rusha jiwe lako gizani huko, litakayempata ndo salama yako. Chezeiya sisi wavuvi weye!.hii ipo sana humu ndani........ila watu wapunguze kujishaua........unakuta mtu kelele mingi kumbe kapuku......
btw......mambo vipi.....pasaka hiyo hapo ujue.........
Prisoner 46664 nambie mkuu kwa nini unasema wana 'issues'?
Hebu dadavua bana acha kubania...najua lara 1 angependa pia kusikia....chezeya avatar ya amber rose!
Mkuu SnowBall,
unajua mchajikobe kaongea point.
Kuna baadhi ya wanawakeau wanaume huna ulazima wa kuuliza maumbo au uzuri wao.
Sauti tu yatosha.
Hv ushawahi sikia sauti ya da AshaDii, watu8, Nicas Mtei au kaka Superman?
Do the Searchwork.
Afu uje jukwaani.
ID na Avatar yako yawakonga wengi nyoyo P
Asante shemeji...
Halafu kitambo sana hatujalonga
aiseeewaache......wasije kujilaumu lakini......ila mimi napenda mwandiko wako ujue.......
namm unipgie bhana mbna twatenganaMie nipo Shemeji yangu.
Juzi kuamkia jana niliteguka kiuno, ndo mana sionekanagi.
Badae ntaku-call tulonge.