Usiogope bana.......sitakufanya kitu...... Ila usijishaue na usiwe muongomuongo......
Hahaha!
Yangu hujaipenda?
hahahaha. We mwana wee. Sauti inakujaje hapa? Mada ni avatar
si unajua mwalimu mimi huwa sipendi kutoa jibu moja kwa moja!lazima nikupe kazi ufikir
hebu itafakari ID yangu!kisha itafakari avatar yangu kisha izingatie signature yangu kisha jifikirishe comments zangukisha utapata jibu!sawa?
Mkuu SnowBall,
unajua mchajikobe kaongea point.
Kuna baadhi ya wanawakeau wanaume huna ulazima wa kuuliza maumbo au uzuri wao.
Sauti tu yatosha.
Hv ushawahi sikia sauti ya da AshaDii, watu8, Nicas Mtei au kaka Superman?
Do the Searchwork.
Afu uje jukwaani.
Kuna swali liliingia katikati.
Hahaha Kungwi,
No You're not. tutalonga tu.
Mie na nyie tena makungwi na masomo wangu.
Mi ni miathirika wa avatar loving, so niko makini nazo...
Long time mbona...
THEDEALER ndio nataka kujua mkuu..hivi hizi 'avatars' zetu zinazungumza kitu flani kutuhusu???
Ina maana zinaweza kupeleka ujumbe flani kwa mhusika???
Hahahahahahaha
mwl hicho kitanda kinatafsiri mengi sana kwako!
Yani hiyo avatar yako ina maanisha sana!
But sija itamani!
Duh...umefanya siku yangu ichangamke....:bange:
Funguka.
Yamaanisha kwamba...