Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

gfsonwin hivi unajua unanisababishia matatizo wewe? Mie nina alergy na sifa. Nikisifiwa bichwa huwa linakuwa kubwa sana! Lol!

hahahahahahahaah! nakuona jinsi unavyochea hapo lolz!

ila ukweli sijuti kukufaham mamito................yaani umejaa tabasamu la kumtoa nyoka pangoni.
 
Ha ha ha haaaaaaaa! Sasa wewe hapo ndio unawafanya wapenda avatar wachanganyikiwe kabisa! Mtu unabaki kujitetea tu "jamani huyo avatar mwaJ na mie ni watu wawili tofauti utanikimbia ukiniona" hawasikii! SnowBall umefanya jema kuanzisha huu uzi maana kuna wengi watajifunza humu kutokana na michango ya watu.
 
Last edited by a moderator:

mimi sijiwezi na avatar yako
 
mimi sijiwezi na avatar yako

Pole The Boss huko ni sawa na kupenda "senema". Ha ha haaaaa! Ila mwenzio sijiwezi kwa huyo aliyeniwekea hiyo avatar. Yaani nikimtazama avatar mwaJ lazima nimkumbuke aloniipa :tape2::tape2:.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaaaaaa! Sasa wewe hapo ndio unawafanya wapenda avatar wachanganyikiwe kabisa! Mtu unabaki kujitetea tu "jamani huyo avatar mwaJ na mie ni watu wawili tofauti utanikimbia ukiniona" hawasikii! SnowBall umefanya jema kuanzisha huu uzi maana kuna wengi watajifunza humu kutokana na michango ya watu.

hahhahahahhaaaaaaaaaaa! bana bana kuna kijikazi cha kukunja nguo hapa natamanije sasa nikuchukue unisaidie??
 
Best yaani umenifanya nicheke kwa kelele kama mwehu! Ha ha ha ha haaaaaaaaaaa! Sikutegemea ntacheka hivi usiku huu! Khaaaa! Mie nimeiimba hiyo kazi tangu asubuhi na sikuifanya! Lol!
 
mmh! weee acha tu mamii.
 
Pole The Boss huko ni sawa na kupenda "senema". Ha ha haaaaa! Ila mwenzio sijiwezi kwa huyo aliyeniwekea hiyo avatar. Yaani nikimtazama avatar mwaJ lazima nimkumbuke aloniipa :tape2::tape2:.
mama umeanza lini kutoa vya mbavu namna hii!
maskini The Boss
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu snowhite mara nyingine usiwe unasoma mistari ya mamio! Soma kama inahusiana na masuala ya sala na maombi lakini ya hizi habari nyingine tazame pembeni!

mama ujue mi nshakuwa mkubwa!
sasa kama The Boss anataka kuwa ankali si uniambie tuu!
ili niwe nampitia mbali!manake lol!
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi habari za weekend??

Nakubali ndio MAPENZI ni 'phenomenon' ya ajabu...Mapenzi bana wanasema yanakujaga tu kama mvua...Na wengine wanasema ukipenda waweza kuwa kipofu..nyekundu ukaiona samawati na njano ukaiona kijani...Lakini pamoja na kizungumkuti kinachohusu mapenzi hivi katika hali ya kawaida..'WAWEZA MPENDA MTU KWA KUANGALIA AVATOR YAKE TU???............... Hebu ndugu zangu Eiyer, Nivea , Mr Rocky , Kaunga , Blaine , HorsePower, walimu wangu snowhite na gfsonwin , Mtambuzi , Jipu , saudari , Blue G, Kamanda Kazi, Yegoo na wengineo wengi nisaidieni hapa.....

Ofcourse inawezekana kabisa hata mimi kuna mtu humu nampenda hata sijawahi kumuona lakini avatar na michango yake inafanya moyo wangu uruke kichura chura
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa shukrani best....
Ila na wewe mwaJ hiyo avatar ....lolz
No wonder The Boss mate yamemtoka....

Ha ha ha haaaaaaaa! Sasa wewe hapo ndio unawafanya wapenda avatar wachanganyikiwe kabisa! Mtu unabaki kujitetea tu "jamani huyo avatar mwaJ na mie ni watu wawili tofauti utanikimbia ukiniona" hawasikii! SnowBall umefanya jema kuanzisha huu uzi maana kuna wengi watajifunza humu kutokana na michango ya watu.
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa shukrani best....
Ila na wewe mwaJ hiyo avatar ....lolz
No wonder The Boss mate yamemtoka....

Uongo mbaya hata mie naizimikia avatar yake! Lol! Sasa sijui inakuaje maana mwanangu snowhite nae anadai anaipenda hiyo avatar! Nadhani mwisho wa siku tutakuwa na mapenzi ya kindugu, mapenzi ya kimahaba na mapenzi ya kiavatar!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom